@drlishe: Faida kwa mgonjwa wa kisukari: * Haina sukari nyingi sana ukilinganisha na matunda kama embe au zabibu. * Ina nyuzinyuzi (fiber) zinazosaidia kupunguza kupanda kwa sukari haraka. * Ina antioxidants zinazosaidia kupunguza madhara ya sukari nyingi mwilini. * Husaidia mmeng’enyo, jambo muhimu kwa wagonjwa wengi wa kisukari. #afyabora #juice #takeaction #kisukari #USHAURI

user92085394513
user92085394513
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 February 2026 16:05:11 GMT
1990
12
3
13

Music

Download

Comments

apelina.mmanga
Apelina Mmanga :
sijui majani gni
2026-08-22 13:26:07
0
edilove458
edilove :
hiyo ya kijani ni nini
2026-02-26 16:42:53
0
To see more videos from user @drlishe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About