@applemimm: Là cùng 1 người đây sao #4elements #theearth #applelapisara #applemimu #mimu

AppleMimu🍏🐝 🌍
AppleMimu🍏🐝 🌍
Open In TikTok:
Region: JP
Saturday 07 March 2026 12:53:25 GMT
7941
406
6
12

Music

Download

Comments

leany_d
🍒leany_d🍒 :
50k top bot lộn xộn
2026-03-08 01:58:17
0
edkha274
EDkhakha :
Cho mình xin ảnh đầu với ạa
2026-03-07 17:45:05
1
shellypundao143
@shellypundao143 :
🥰🥰🥰
2026-03-07 14:06:20
0
nhih1990
nhihồ1990🇻🇳 :
🥰🥰🥰
2026-03-07 14:14:39
0
punchaleen24
Ly Khanh611✔️ :
Cho mik xin vid này dc ko
2026-03-16 15:47:20
0
To see more videos from user @applemimm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

MAFUNDI, ACHENI TABIA YA KUMWAGA RANGI CHOONI! 🚨  wengi, hasa mafundi wa rangi, wana tabia hii mbaya sana ya kumwaga rangi chooni. Wakati mwingine fundi anakosea mahesabu kabla ya kununua rangi. Kazi ni ndogo, lakini ameagiza rangi nyingi. Badala ya kusema ukweli kwamba rangi imebaki, anachukua mabaki ya rangi na kuyamwaga chooni ili kuondoa ushahidi. Baadaye anasema:
MAFUNDI, ACHENI TABIA YA KUMWAGA RANGI CHOONI! 🚨 wengi, hasa mafundi wa rangi, wana tabia hii mbaya sana ya kumwaga rangi chooni. Wakati mwingine fundi anakosea mahesabu kabla ya kununua rangi. Kazi ni ndogo, lakini ameagiza rangi nyingi. Badala ya kusema ukweli kwamba rangi imebaki, anachukua mabaki ya rangi na kuyamwaga chooni ili kuondoa ushahidi. Baadaye anasema: "Boss, rangi imeisha. Ongeza nyingine." Wakati kumbe sehemu ya hiyo rangi aliimwaga mwenyewe chooni. Lakini kuna wengine wanafanya hivi kwa makusudi kabisa kwa ajili ya kumkomoa boss au tajiri. Mmezozana, mmegombana au kuna jambo limewakera, basi anasema moyoni: "Kama umenikosea, nitakutia hasara." Anaichukua rangi na kuimwaga chooni, halafu anadai rangi imeisha ili boss anunue nyingine. Hii ni tabia mbaya sana. Na wengine wanafanya kwa uzembe na uvivu. Muda wa kazi umefika mwisho, fundi anataka kuondoka, rangi bado ipo nyingi na hajamaliza kazi. Badala ya kuhifadhi rangi iliyobaki vizuri, anaimwaga chooni ili ionekane kama rangi imekwisha. Hii siyo professionalism. Kama una tatizo na boss, zungumza naye. Kama umefanya makosa kwenye mahesabu, sema ukweli. Kama rangi imebaki, ihifadhi. Usimdhulumu mtu kwa sababu tu wewe umefanya kosa au umeudhika. Na kumbuka, kumwaga rangi chooni kunaweza pia kuleta matatizo kwenye mfumo wa drainage na kumuongezea mteja gharama nyingine. Mafundi wengine wanapofika kwenye kipindi ambacho kazi hazipatikani, wanaanza kulalamika: "Kazi hakuna..." "Maisha magumu..." "Wateja hawapatikani..." Lakini wakati mwingine tunapaswa pia kujiangalia wenyewe na tabia tunazofanya kwenye kazi. Usimdhalimu mtu asiye na hatia halafu ukategemea kila kitu kiende vizuri kwako. Uaminifu kwenye kazi ni sehemu ya taaluma. Fundi mzuri si yule anayejua kupaka rangi vizuri tu. Fundi mzuri ni yule anayeheshimu material ya mteja, anakuwa mwaminifu na anaacha kazi ikiwa salama. Kwa hiyo mafundi wenzangu, hasa mafundi wa rangi: ACHENI TABIA YA KUMWAGA RANGI CHOONI. 🚫 Usimkomoe boss kwa kumtia hasara. Usifiche makosa yako kwa kumwaga material. Usifanye uzembe kwa sababu tu unataka kuondoka. Jenga jina lako kwa uaminifu, ubora na nidhamu ya kazi. FINISHING MASTER — Ubora wetu ni alama yetu.

About