@hubahonlinetz: ogopa sana mwanamke asiekuomba chochote kwako mara nyingi hua wanajitambua sana#mapenzi #creatersearchinsights #mapenzi #fpt

hubah online tz
hubah online tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 March 2026 08:56:21 GMT
713135
22600
536
6399

Music

Download

Comments

queenofsmile475
queen of smile :
ety mbn. me sijuagi kuomba ela naonaga haya mie 🥰🤣🤣
2026-03-09 05:32:25
161
user9391293942401
user9391293942401 :
mimi uyo mwisho nakuacha🤣⁰
2026-03-08 19:23:10
98
tausisalumgmail.c
[email protected] :
wanawak msiomba pesa mpo
2026-03-10 09:57:04
100
halimasaid778
Halima Said :
tupo wengituu mungu atunusur nakuomba omba
2026-03-09 05:27:02
88
ishersweetscake
Isher sweets cake🍴🍽🎂🍰🧁🍾 :
uuuuuh ni mm huyu kabisa yeeee jmn sijui kuomba na nahis nikiomba nadhalilikaa wallah 🥰
2026-03-09 11:04:00
45
user71327757669875
Daines :
Yaani Mimi nipo na mtu Toka mwez wa9 adi Leo sijawah kumuomba ela na yeye hanipi sijui anawaza nini
2026-03-10 11:09:11
18
luciejuma6
Lucy :
tunaoangalia jumatatu jioni like apa
2026-03-09 16:57:36
36
janethsamwel2875
Best Ladyy😇 :
Makofiii tafadhaliii😁😁
2026-03-09 06:40:02
34
selivialameck
Selivia Lameck :
kweli kabisa mimi sijuagi kumuomba hela mpenzi wangu
2026-03-08 19:47:55
29
africanman394
Minah :
mh mwenyewe niko 3yrs in relationship but sijawai omba pesa ata siku moja
2026-03-09 10:03:44
23
wardandeka.81
warda ndeka.47 :
kama mm niona sikuelew uwa nahishia kulia t jaman
2026-03-08 20:20:43
11
wardah8918
wardah :
hiyo Ni Mimi kabisa usiponipa sikuombi
2026-03-09 04:59:20
17
helinamatua
helina ❤️❤️🙏 :
kuomba uwiii nimeshindwaa mimi
2026-03-09 05:30:08
17
user80478525161127
Halima fulana :
kwer kabisa afu awajiongezi
2026-03-09 02:08:59
23
official.adry
official adry💗🫦 :
ni sahihi kabisaa yani
2026-03-08 21:13:58
7
rehema0487
rehema :
unakitu dada umo tyyu 🥰🥰🥰🥰
2026-03-08 20:03:53
11
user8073202760577
user80732027user80732027user :
ni kweli ndo mimi apa
2026-03-10 12:37:26
8
user28703395765852
Nadya :
nikweli mungu atupe uvumiliv
2026-03-09 09:30:37
6
mamyramusfat2004
رمسفث :
ni kwelii kabishaaa 🥰🥰🥰
2026-03-08 21:29:31
5
user7495480048750
didah :
Hata mimi piya sijuy I kuomba pesa ila sasa kwenye kuchungusa mpaka watu niwawo wazungu lazma niwachunguze
2026-03-08 20:14:14
8
harounally817
Haroun Ally :
uhakik
2026-03-10 15:23:34
0
user2658087542947
Dorc :
mimi nimeachika kwasababu nimeomba pashmina, nimeambiwa hapend ombaomba
2026-03-15 08:39:42
2
user45749233548683
furahamasika :
ndo mimi nilivo
2026-03-10 20:21:28
2
winnie64519
mis.. winnie :
duuh wangu simuombi na ajuwi kujiongeza,, sijawah muomba
2026-03-13 20:40:34
2
user580447406181
last born :
me kuomba cjuh zawad au hela khaaa
2026-03-16 15:24:39
1
To see more videos from user @hubahonlinetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About