@crossfitgames: Tomorrow. 🌴🌴🌴 CrossFit Open announcement #26point3, presented by Rogue, is going live tomorrow from Gymreapers Wodapalooza on Miami Beach! The final throwdown of the 2026 Open, presented by Air National Guard, will feature Danielle Brandon vs. Arielle Loewen vs. Olivia Kerstetter. 😤 Tune in: 🗓️ March 12, 2026 ⏰ 12 p.m. PT — Open Workout 26.3 announced 📺 CrossFit Games website and YouTube channel #CrossFit #CrossFitOpen @olivia kerstetter @Danielle Brandon @Arielle Loewen

CrossFit Games
CrossFit Games
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 11 March 2026 15:37:51 GMT
9506
194
3
8

Music

Download

Comments

maya.sm.sanchez
Maya S.M. Sanchez :
see you soon 🌴
2026-03-11 19:45:51
0
roguefitness
Rogue Fitness :
💪
2026-03-12 20:23:36
1
quadrawellness1977
Bruno :
💪💪💪
2026-03-11 21:45:39
0
To see more videos from user @crossfitgames, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Dkt. Khamis Mussa, mchambuzi wa masuala ya siasa, amemtaja Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa ni “tatizo kuu la matatizo ya Watanzania”, akidai kuwa sehemu kubwa ya changamoto zinazohusu Katiba nchini zinatokana na nafasi na maamuzi ya Warioba katika vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 4, 2026, Dkt. Mussa amesema Warioba ndiye aliyeandika Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akidai kuwa Katiba hiyo ilimpa Rais madaraka makubwa kiasi kwamba hata Mwalimu Julius Nyerere alilazimika kuifanyia marekebisho mwaka 1982 na 1984. Amesema kinachomshangaza ni baadhi ya wakosoaji wa Katiba hiyo kumtaja Warioba kama shujaa licha ya kuwa ndiye aliyeshiriki kuiandaa. Dkt. Mussa pia amemlaumu Warioba kwa kile alichokiita kushindwa kutumia nafasi aliyopewa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba, akidai kuwa mapendekezo ya Serikali Tatu yaliyotokana na Tume hiyo ndiyo yaliyoibua mvutano mkubwa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 na hatimaye kuzuia kupatikana kwa Katiba Mpya. Kwa mujibu wa Dkt. Mussa, kama pendekezo hilo lisingekuwepo, huenda Tanzania ingekuwa tayari imepata Katiba Mpya. Akizungumzia mwenendo wa Warioba baada ya kustaafu, Dkt. Mussa amesema tofauti na viongozi wastaafu kama Cleopa Msuya na Benjamin Mkapa ambao, kwa mujibu wake, walikuwa wakitoa ushauri kwa viongozi walioko madarakani moja kwa moja, Warioba amekuwa akizungumza kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Amehusisha kauli za Warioba kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025 na madai ya mgawanyiko ndani ya Jeshi la Polisi na kusema kuwa kiongozi mwenye uzoefu kama Warioba alipaswa kutumia nafasi yake kumshauri Rais moja kwa moja badala ya kulalamika hadharani. Dkt. Mussa amemkosoa zaidi Warioba kwa kutumia taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuhusu idadi ya vifo vilivyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025, akisema taarifa rasmi kuhusu idadi hiyo haikuwa imetolewa wakati huo. Amesema kauli ya Warioba kwamba idadi ya vifo iliyokuwa ikisemwa ingeifanya Tanzania kuwa na vifo vingi kuliko vilivyotokea katika Vita ya Kagera ilikuwa ni kutumia taarifa zisizothibitishwa katika kuto

About