@unclepofficial001: #unclep #abuaman #abuaman001 #abua #abuaodual

Uncle P
Uncle P
Open In TikTok:
Region: NG
Saturday 14 March 2026 19:59:08 GMT
184190
2473
32
65

Music

Download

Comments

elyahyadjohny
El Yahya Djohny :
il y dieu dedans
2026-06-02 10:03:39
0
ahaisibwerichard60
RICHARD :
that's Ugandan football
2026-03-14 20:25:22
2
unclepofficial001
Uncle P :
Wow very funny and interesting oo 🤣🤣🤣
2026-03-14 19:59:58
1
nadendounbia
DJ NAH DEN OFFICIEL :
😂😂😂
2026-03-15 15:30:51
1
dumitrascu.cristi6
Cristi bossu :
😂😂😂
2026-03-15 04:36:47
1
gaetansankardja
sankardja midame Gaëtan :
🤣🤣🤣🤣 c'est où maaa
2026-03-15 03:01:21
1
user7817683230692
Mohamed✈️👋🙆🫡 :
🤣🤣🤣
2026-03-15 01:23:56
1
ma.fiert.conakry
Macire :
kkkkkkkkkk🤣🤣🤣🤣 kkkkkkkkkk
2026-03-14 23:21:35
1
j.s.s70
J.S.S :
quelle chance 😂😂😂😂
2026-03-14 22:39:20
1
lamzo1111
🐝TAMBA🌴🌴DJIRO🐝 :
😂😂😂
2026-03-14 22:34:00
1
gdon.betevi
Gédéon Betevi :
tout arrangement il y a dérangement 😆😆😆😆
2026-03-14 22:29:15
1
user872717178616
هارون آدم :
😂😂😂
2026-03-14 22:18:06
1
harrietayuro
Harriet wa baby :
almost
2026-03-14 21:56:46
1
mathifcup5q
mathieu :
@😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏❤️
2026-03-14 21:51:27
1
soynegro509
MAMADOU BOYE :
🤣🤣🤣
2026-03-14 21:28:43
1
s.n.s.abdul
S.N.S ABDUL.. :
🥰
2026-03-14 21:22:50
1
unclepofficial001
Uncle P :
Funny people everywhere oo 🤣🤣🤣
2026-03-14 19:59:43
1
unclepofficial001
Uncle P :
This is absolutely amazing oo 🤣🤣🤣
2026-03-14 20:00:04
1
user3548630636243a
Naàm Abdou Odg :
👍👍👍
2026-03-14 20:07:59
1
sarahgeleka
Sarah la diva :
🥰🥰😂😂
2026-03-14 20:09:55
1
lamisi577
Issah Rasheed :
😅😅😅
2026-03-14 20:11:33
1
wahabouguiro867
wahabouguiro867 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-03-14 20:18:47
1
sagaratab13
sagarata b13 :
😂😂😂😂😂
2026-03-14 20:19:41
1
buharisallaumato
general2434 :
👍👍👍👍👍
2026-03-14 20:40:09
1
ru66554
Ru :
🥰🥰🥰
2026-03-14 21:12:59
1
okello.nathan97
Okello Nathan :
busoga uganda bro very nice
2026-03-14 21:13:49
1
sevenepih1
sevenepih1 :
🥰🥰🥰
2026-03-14 21:27:47
1
ore.of.ph4
✌️Southern Machine✌️ :
😂😂😂😂
2026-03-15 06:53:38
0
rweishe73
^^ :
Its a goal
2026-03-15 10:40:23
0
elimane.niang44
niang elimane🇸🇳✈️🇸🇳❤💯 :
🤣🤣🤣
2026-03-15 14:44:42
0
elimane.niang44
niang elimane🇸🇳✈️🇸🇳❤💯 :
😂😂😂
2026-03-15 14:44:46
0
kingbios0
King Bios 🤴 57👌💪 :
Laughing 😃 😀 😄 only=LAFINTA 😂
2026-04-03 15:13:28
0
To see more videos from user @unclepofficial001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

RUKWA: SOKOMATOLA YAZUA MVUTANO SUMBAWANGA, MADEREVA WASITISHA HUDUMA BAADA YA UHAMISHO WA STENDI Huduma za usafiri wa umma na shughuli za kibiashara katika Manispaa ya Sumbawanga zimekumbwa na sintofahamu kufuatia uamuzi wa uongozi wa Manispaa kuhamisha kituo cha zamani cha mabasi cha Sokomatola na kuelekeza watumiaji wa kituo hicho kwenda Stendi Kuu ya Katumba na Kanondo. Hatua hiyo, inayolenga kupanga upya shughuli za usafiri na kuboresha miundombinu ya mji, imeibua malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara wadogo (Machinga), abiria na madereva wa vyombo vya usafiri ambao wameathirika na mabadiliko hayo. Wakizungumza katika eneo la Sokomatola, Mwenyekiti wa Stendi pamoja na baadhi ya wafanyabiashara wamesema kuwa walikuwa na taarifa za awali kuhusu mpango wa kuhamishwa, lakini changamoto kubwa iliyopo ni mazingira na utaratibu wa utoaji huduma katika maeneo mapya waliyoelekezwa. Hali imezidi kuwa ngumu baada ya madereva wa magari ya abiria kusitisha huduma za usafiri, wakieleza kutoridhishwa na kukosekana kwa utaratibu utakaowezesha usafiri wa uhakika kati ya vituo vipya na maeneo ya katikati ya mji. Kutokana na hali hiyo, wananchi wanaotegemea usafiri huo kwa shughuli zao za kila siku wamejikuta katika wakati mgumu, huku shughuli za biashara katika eneo hilo nazo zikikumbwa na changamoto. Wananchi na wadau wa usafiri wameiomba Manispaa ya Sumbawanga kuingilia kati na kutoa ufafanuzi kuhusu mgawanyo wa vituo hivyo. Wamesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa utaratibu ulio wazi, wakibainisha kuwa Stendi ya Katumba imejengwa kwa ajili ya mabasi ya mikoani, hivyo wanahitaji kufahamu eneo rasmi litakalotumika kama stendi ya mabasi ya ndani na yale yanayohudumia wilaya jirani. Wadau hao wanaamini kuwa kuwepo kwa suluhisho la pamoja kutasaidia kurejesha huduma za usafiri, kulinda shughuli za kiuchumi na kupunguza usumbufu kwa wananchi. Hadi sasa, wananchi na wadau wa usafiri wanasubiri hatua na ufafanuzi wa uongozi wa Manispaa ya Sumbawanga ili kumaliza changamoto hiyo na kurejesha hali ya kawaida ya usafiri na biashara mjini humo. HABARI ZA RUKWA NA MATUKIO MBALIMBALI, ENDELEA KUFUATILIA. #Rukwa #Sumbawanga #Sokomatola #Habari

About