@convict.640: #cops #bodycam #police

Convict 640
Convict 640
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 19 March 2026 17:47:56 GMT
2675
91
1
5

Music

Download

Comments

madatdymond
Dymond Lashai :
The cop just doesn’t want to get involved if she has a court order then no it’s not a civil matter anymore
2026-03-19 22:16:58
6
To see more videos from user @convict.640, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Moshi.Moshi. Mwanaume ambaye jina lake halijafahamika amepanda juu ya dari la kanisa  na kuanza kujikatakata kwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake , huku akidaiwa kutaka kujitupa kutoka kwenye jengo hilo la ghorofa. Tukio hilo limetokea leo, Jumapili, Septemba 13, 2026, katika Kanisa la River of Joy, Calvary Assemblies of God, linaloongozwa na Mtume Mwamposa, lililopo Mtaa wa Rengua, Kata ya Mawenzi, Moshi Mjini, Mkoa wa Kilimanjaro, wakati ibada ikiendelea.  Tukio hilo limesababisha viongozi wa kanisa kutoka ibadani na kuomba msaada wa Jeshi la Polisi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ambao walifika eneo hilo na kufanikiwa kumshusha mwanaume huyo salama. Akizungumza baada ya tukio hilo,Sajenti Meja Martin Mapunda Fluko wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Moshi Mjini amesema walipata taarifa kutoka kwa Inspector Ali majira ya saa 3 asubuhi kuwa kuna mtu anayetaka kujitupa kutoka kwenye jengo hilo la ghorofa. Amesema alipofika eneo la tukio, alimkuta mwanaume huyo amelala juu ya bati, hivyo alizungumza naye kwa lengo la kumshawishi ashuke kwa usalama. “Nilijitambulisha kwake, nikamwambia mimi ni askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, nimekuja na wewe kukupa msaada,” amesema Fluko. Amesema mwanaume huyo alimsikiliza na baadaye akakubali kushuka, ambapo askari hao walimsaidia kufika chini bila kumkamata kwa nguvu. Fluko amesema katika mazungumzo ya awali walibaini kuwa mwanaume huyo alikuwa na matatizo ya kifamilia, huku jina lake likiwa bado halijafahamika. Amesema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji litashirikiana na Jeshi la Polisi katika uchunguzi zaidi baada ya mwanaume huyo kutulia. Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, John Swai, aliyefika kanisani hapo asubuhi kwa ajili ya kununua mafuta ya upako, amesema kabla ya mwanaume huyo kupanda juu ya jengo alikutana naye nje ya kanisa na kumweleza kuwa alihitaji kuombewa. #fypシ #viraltiktok

About