@jechaonlinetv: Watu wanaotuma herufi izi B , N , Z ni watu wenye Neema kubwa inshaalla Subscribe channel yetu ya youtube link ipo chini ya bio yetu mwa Elimu zaidi #MURIDITWARIKAQADIRIAUWEISIA #marekani🇺🇲🇺🇲🇹🇿 #oman🇴🇲muscat🥀🌹 #mombasatiktokers🌴
JECHA ONLINE TV
Region: TZ
Thursday 26 March 2026 06:50:36 GMT
Music
Download
Comments
Noorein vias :
mm ni Noor lakini hata bahati ya konami sina😪😪😪😪
2026-06-12 23:13:15
1
Zar Raa :
mimi z lakini namaisha magumu sana
2026-03-27 19:23:48
8
Zaymiii :
me zaynabu
2026-06-12 20:31:26
1
zuwena :
mie inaanzia na z mbn Sina bahat
2026-03-26 06:59:03
8
Zuena Hassan :
mm z bt sina bahati wala maisha mazuri naomba msaada
2026-05-17 10:30:17
1
zena-cosmetics :
Kweli kana
2026-05-07 09:07:28
1
BELO 17 :
pete ipi hiyo 😊😃tena nipate mimi
2026-04-07 19:54:17
1
kuchi 💕💕💞 :
mimi NI b alhamdhulilaih 🥰
2026-03-26 17:02:08
2
Naah 💜 :
Mbona tunaishi maisha magumu
2026-03-29 10:28:51
2
Zaituni Mohammed :
mbona mimi sina chochote
2026-03-27 19:48:45
1
Zaituni Mohamed :
alhamdulillah
2026-05-23 07:58:58
1
zalha Aq-mar🪷 :
me ndio nateseka sanna
2026-03-28 18:57:21
2
user9733985378438 :
Mm z lkn maisha yangu hayopo sawa nifanyeje
2026-05-01 19:18:10
1
solver 麻衣-まい 爱莉 りか :
nina herufi b nahitaji msahada
2026-04-28 19:16:13
1
zuuhharuna :
zuhra oyeeeeeee
2026-04-03 13:27:41
1
Yusuph Nasra :
Mimi sina
2026-04-01 20:14:48
1
Da zuh💥💫💥 :
saw
2026-04-26 21:08:32
1
Fahmat 🦋🩷 :
Mom double N nawaza mbali hapa…Allah jalia wanangu 🙏
2026-04-30 06:34:56
1
Baraka Peter :
dah mbon mm sas nateseka sana
2026-04-10 09:01:45
1
❤️💖🥰 :
mm zuhra ☺️
2026-03-28 18:42:35
1
dada nasma 🇴🇲🇹🇿 :
mimi N alhamdulillah
2026-03-28 11:16:31
2
Nancym Kassam :
ninaitwa Nancym, ninashukuru Allah kwakwel ata kama ninapitia mitian ming lakin alhamdulillah rizik napata
2026-03-31 05:11:12
2
sofie21 :
Mimi s je
2026-03-28 15:56:37
1
khanurat baby :
mimi nuraish na alhamdulillah yote ninay
2026-04-08 18:33:56
1
To see more videos from user @jechaonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.