@knews24.media: #HABARI: Watu watano wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali katika Mji wa Tunduma, wilayani Momba, kwa tuhuma za "kuiba" sehemu za siri za wanaume kwa njia za kishirikiana.
Tukio hilo limezua taharuki kubwa mkoani Songwe, huku baadhi ya wanaume wakilazimika kuvaa pini na "rubber band" mikononi wakiamini kuwa ni kinga dhidi ya vitendo hivyo vya kishirikina vinavyotekelezwa kwa kugusa mabega.
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma, Dkt. Steven Kawogo, amethibitisha kupokea miili ya marehemu na majeruhi, huku Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga, akilaani kitendo cha wananchi kujichukulia sheria mkononi.
Jeshi la Polisi tayari linawashikilia watu saba kuhusiana na mauaji hayo, huku uchunguzi wa kina ukiendelea ili kubaini ukweli wa tuhuma hizo na kurejesha hali ya usalama mjini Tunduma.
#knews24updates #tunakutoakichakani
knews24 media
Region: TZ
Thursday 02 April 2026 19:43:35 GMT
Music
Download
Comments
janet :
awee
2026-05-23 08:42:44
2
hammylosto :
Hapa ni mkoa gani?
2026-04-05 04:37:35
3
TIFFAH COLLECTION :
uwiiiiii mume wangu 😳
2026-04-04 13:21:24
2
user8366793351172 :
jaman umakini
2026-04-11 19:52:01
2
EAGLE FIRE 🔥 BOY :
wanaosema pini zitaanza kuuzwa bei kubwa kuliko mafuta gonga like apa
2026-04-04 17:01:04
9
Nivaro_X🇹🇿🇹🇿 :
Oyaaa halima alikuwa mbele ya muda alisema shika makendeee
2026-04-08 04:51:34
2
Khadija Omari :
Heee nayo atari 😂
2026-04-04 11:23:08
3
TECKLA🍎 :
mimi nilikuwa naomba pini zipande bei2 jaman maana inalinda ki2 cha dhaman
2026-04-06 19:27:58
1
ysfty13ally♓️😇🥰🇹🇿 :
yan hatar
2026-04-03 16:36:08
4
Mkwavinyikha The great :
Hii sasa imekuwa hatari
2026-04-03 02:54:35
3
@ :
pole
2026-04-04 11:13:45
0
DON BWAY-TZ18 :
🙏
2026-04-05 12:21:54
1
champion 1 🏆 :
🥰
2026-04-06 10:44:06
1
official Brand :
😁
2026-04-06 15:52:01
1
kris.rem 70's :
😁😁😁
2026-04-04 18:58:41
1
user7457731437108 :
😳😳😳
2026-04-04 19:12:40
1
Clevery90 :
@MWEUSI99
2026-04-04 09:45:45
1
mama misheli :
😁
2026-04-04 06:32:24
1
Faraja Sanga :
🥰🥰🥰
2026-04-13 11:33:30
1
user8198758539866 :
🙏
2026-04-04 10:18:43
0
nkali jr :
😁😁😁
2026-04-04 12:24:46
1
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm
homepage.