@lechivinhh0: tao tối không ngủ:) #xuhuongtiktok #buontamtrang #sotory #vdtamtrang

Lee Chi Vinhh
Lee Chi Vinhh
Open In TikTok:
Region: VN
Wednesday 15 April 2026 05:08:56 GMT
80741
6594
3
928

Music

Download

Comments

saocungduoc_755
ᴘʜᴜᴏɴɢɴʜɪ :
mình cũng ko biết hôm nay bản thân như thế nào nữa nhưng mình cảm thấy rất mệt và nặng trĩu
2026-04-26 05:57:46
6
bo22.2
☀️𝓛𝓣𝓚𝓲ề𝓾☀️ :
xin vd
2026-05-29 14:55:30
0
tramtinhcungminh
.. :
@bi.matmat
2026-05-20 01:04:17
0
To see more videos from user @lechivinhh0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

PART ONE: Abu Muslim Al Bahalani jina lake kamili ni Nasser bin Salim Al Rawahi alikuwa mshairi, mwanazuoni, na mwanahabari na mwandishi wa vitabu mbali mbali vya fasihi na akida kutoka Nchini Oman.  Abuu Muslim anachukuliwa kama mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika historia ya Kiswahili na Uarabu wa Afrika Mashariki, hasa kwa kazi yake nchini Zanzibar. Amepata sifa kubwa kutokana na kazi zake za uandishi ametambuliwa kimataifa huko Oman katika watu watatu wanaotambuliwa kuwa ni washairi wakubwa na maarufu mmoja wapo ni yeye Abu Muslim  Alizaliwa mwaka 1860 katika Bonde la Mahram, Oman, na alifariki mwaka 1920 Zanzibar na alizikwa makaburi ya Waarabu Rahaleo kwenye msikiti wa Jamia ya Waarabu miaka miwili baada ya kufariki rafiki yake mkubwa Sheikh Rashid Bin Slim Bin Salum Al Ghaithiy aliyekuwa akiishi Mwera Kiongoni. Asili na Elimu: Alikulia katika mazingira ya kidini na kisomi; baba yake alikuwa Qadhi (hakimu) na mwanazuoni wa Ibadhi. Alisoma Quran na Sheria ya Kiislamu kwa wanazuoni maarufu. Akiwa na umri wa miaka 18, alihamia Zanzibar na baba yake mwaka 1878. Kazi Zanzibar: Alihudumu kama Qadhi Mkuu (Hakimu mkuu) kwa Masultani kadhaa wa Zanzibar, akishauri watawala kama Sultani Hamad bin Thuwaini na Hamoud bin Mohammed. Utumishi wake katika mahakama uliisha mwaka 1907 kwa shinikizo la serikali ya kikoloni ya Uingereza. Baba wa Uandishi wa Habari wa Omani: Mwaka 1911, alianzisha gazeti la Al-Najah  Zanzibar. Hili lilikuwa jarida la kwanza la kisasa kwa Omani, likitoa mwangaza wa matukio ya kisiasa na kijamii katika ukanda wote wa Ghuba ya Uajemi na Afrika Mashariki. Mwaka 2019, Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) lilimtambua kama mmoja wa watu wenye ushawishi duniani kwenye kumbukumbu ya miaka 100 tangu kifo chake, kwa juhudi zake za kuleta mageuzi kwa njia ya mashairi na uandishi. Ushairi na Wanazuoni: Mbali na kuhudumu kama hakimu, alikuwa na
PART ONE: Abu Muslim Al Bahalani jina lake kamili ni Nasser bin Salim Al Rawahi alikuwa mshairi, mwanazuoni, na mwanahabari na mwandishi wa vitabu mbali mbali vya fasihi na akida kutoka Nchini Oman. Abuu Muslim anachukuliwa kama mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika historia ya Kiswahili na Uarabu wa Afrika Mashariki, hasa kwa kazi yake nchini Zanzibar. Amepata sifa kubwa kutokana na kazi zake za uandishi ametambuliwa kimataifa huko Oman katika watu watatu wanaotambuliwa kuwa ni washairi wakubwa na maarufu mmoja wapo ni yeye Abu Muslim Alizaliwa mwaka 1860 katika Bonde la Mahram, Oman, na alifariki mwaka 1920 Zanzibar na alizikwa makaburi ya Waarabu Rahaleo kwenye msikiti wa Jamia ya Waarabu miaka miwili baada ya kufariki rafiki yake mkubwa Sheikh Rashid Bin Slim Bin Salum Al Ghaithiy aliyekuwa akiishi Mwera Kiongoni. Asili na Elimu: Alikulia katika mazingira ya kidini na kisomi; baba yake alikuwa Qadhi (hakimu) na mwanazuoni wa Ibadhi. Alisoma Quran na Sheria ya Kiislamu kwa wanazuoni maarufu. Akiwa na umri wa miaka 18, alihamia Zanzibar na baba yake mwaka 1878. Kazi Zanzibar: Alihudumu kama Qadhi Mkuu (Hakimu mkuu) kwa Masultani kadhaa wa Zanzibar, akishauri watawala kama Sultani Hamad bin Thuwaini na Hamoud bin Mohammed. Utumishi wake katika mahakama uliisha mwaka 1907 kwa shinikizo la serikali ya kikoloni ya Uingereza. Baba wa Uandishi wa Habari wa Omani: Mwaka 1911, alianzisha gazeti la Al-Najah Zanzibar. Hili lilikuwa jarida la kwanza la kisasa kwa Omani, likitoa mwangaza wa matukio ya kisiasa na kijamii katika ukanda wote wa Ghuba ya Uajemi na Afrika Mashariki. Mwaka 2019, Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) lilimtambua kama mmoja wa watu wenye ushawishi duniani kwenye kumbukumbu ya miaka 100 tangu kifo chake, kwa juhudi zake za kuleta mageuzi kwa njia ya mashairi na uandishi. Ushairi na Wanazuoni: Mbali na kuhudumu kama hakimu, alikuwa na "Madrasa" ya kufundishia lugha ya Kiarabu. Alitoa mchango mkubwa katika fasihi kwa kuunganisha mawazo ya Ibadhi (Fikra ya Kiislamu inayojulikana kwa msimamo wake wa wastani) na Fikra ya Kisufi (Sufi), jambo ambalo lilikuwa la kipeo kwa wataalamu wa Ibadhi nyakati zake. Fahari ya Zanzibar

About