@saimun_forhad: when it rains in Rangamati. . . . . . . #explore #rangamati #kaptai #rain #fyp

saimun_forhad
saimun_forhad
Open In TikTok:
Region: BD
Sunday 19 April 2026 09:19:53 GMT
4358
207
2
54

Music

Download

Comments

user298694587
SHUVO.. Ahmed.. :
বৃষ্টি কবে হয়েছে
2026-05-09 17:09:21
0
wonyong124
চিত্র আঙিনা :
🥰🥰🥰
2026-04-19 13:03:32
1
To see more videos from user @saimun_forhad, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Rais wa Kenya Long Distance Truck Drivers Union, Sudi Matela, amesema madereva wa malori ndio nguzo kuu ya uchumi wa taifa, akisisitiza kuwa karibu kila sekta muhimu inategemea kazi yao, hivyo serikali zinapaswa kuwapa kipaumbele zaidi. Akizungumza katika mahojiano maalum, Matela alisema huduma nyingi za msingi zisingewezekana bila madereva, akieleza kuwa usafirishaji wa dawa hospitalini, vifaa vya shule, bidhaa za viwandani na mahitaji mengine muhimu hutegemea juhudi za madereva.
VIDEO: Rais wa Kenya Long Distance Truck Drivers Union, Sudi Matela, amesema madereva wa malori ndio nguzo kuu ya uchumi wa taifa, akisisitiza kuwa karibu kila sekta muhimu inategemea kazi yao, hivyo serikali zinapaswa kuwapa kipaumbele zaidi. Akizungumza katika mahojiano maalum, Matela alisema huduma nyingi za msingi zisingewezekana bila madereva, akieleza kuwa usafirishaji wa dawa hospitalini, vifaa vya shule, bidhaa za viwandani na mahitaji mengine muhimu hutegemea juhudi za madereva. "Kila nchi na kila jamii inaishi kwa sababu ya huduma ya dereva. Wagonjwa wanatibiwa kwa sababu dawa zinafika kupitia madereva, watoto wanasoma kwa sababu vifaa vinafikishwa na madereva, hata Rais anafika kazini kwa sababu ya huduma za usafiri. Dereva ndiye mzalishaji na mwezeshaji mkubwa wa uchumi wa taifa," alisema Matela. Aliongeza kuwa malengo ya serikali ya kukusanya mapato hayawezi kufikiwa bila sekta ya usafirishaji kufanya kazi kwa ufanisi, kwa kuwa viwanda, biashara na huduma mbalimbali hutegemea usafirishaji wa bidhaa. Matela pia aliitaka serikali kuboresha maslahi ya madereva kwa kuongeza mishahara, kuimarisha mafunzo ya taaluma na usalama barabarani, pamoja na kuhakikisha wanapata mazingira salama ya kazi. Alisema madereva hukabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo hatari za kiafya na za kiusalama wanapokuwa safarini kwa muda mrefu, hivyo kuna umuhimu wa kuweka sera na mifumo madhubuti ya kuwalinda. "Madereva wanapaswa kulipwa vizuri, kufundishwa nidhamu na usalama barabarani, pamoja na kupewa ulinzi na huduma zinazostahili kutokana na mazingira hatarishi wanayofanyia kazi," alisisitiza Matela. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #madeintanzania#madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz

About