@mittmannmittmann:

STABILON
STABILON
Open In TikTok:
Region: BR
Thursday 23 April 2026 12:02:42 GMT
2216
71
3
30

Music

Download

Comments

filhadosoledalua
filhadalua :
não entra nesse whatsapp
2026-04-28 12:10:45
0
edimilsonsetubal
Edimilson Setubal :
@
2026-05-03 09:58:29
1
To see more videos from user @mittmannmittmann, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

SABABU 10 ZINAZOSABABISHA GARI KULA MAFUTA MENGI🙏🙏 1. Air filter chafu – Hupunguza hewa inayoingia kwenye engine, hivyo ECU huongeza mafuta ili kufidia upungufu wa hewa. 2. Spark plugs zilizochoka – Mwako wa mafuta haukamiliki, hivyo mafuta mengi hupotea bila kuzalisha nguvu ipasavyo. 3. Oxygen (O2) sensor mbovu – ECU hupokea taarifa zisizo sahihi na kuingiza mafuta mengi kuliko yanavyohitajika. 4. Matairi yenye presha ndogo – Huongeza rolling resistance, hivyo engine hulazimika kutumia nguvu na mafuta zaidi. 5. MAF sensor chafu au mbovu – Hupima vibaya kiwango cha hewa kinachoingia kwenye engine na kusababisha matumizi makubwa ya mafuta. 6. Thermostat mbovu – Engine hushindwa kufikia joto sahihi la kazi, hivyo ECU huendelea kuongeza mafuta kama vile engine bado ni baridi. 7. Fuel injectors chafu au zinazovuja – Hunyunyiza mafuta kwa kiwango kisicho sahihi na kuongeza matumizi. 8. Mtindo mbaya wa kuendesha – Kasi kubwa, kuongeza mwendo kwa ghafla na kubana breki mara kwa mara huongeza matumizi ya mafuta. 9. Huduma za gari kuchelewa – Kutobadilisha engine oil, filters na kufanya service kwa wakati hupunguza ufanisi wa engine. 10. Mzigo mkubwa usio wa lazima – Kadri uzito wa gari unavyoongezeka, ndivyo engine inavyotumia mafuta mengi zaidi. Kumbuka: Gari likianza kula mafuta kuliko kawaida, usikimbilie kuuuza gari. Mara nyingi tatizo huwa kwenye matengenezo kidogo tu.🙏🙏🙏 📌  Kama unapenda kupata elimu na kujua gari gani zuri utaanzia maisha karibu kwenye group letu utachangia 5000 tu ya WI-FI ili nisipotee online🤗🙏 Chukua namba kwenye profile au nitumue sms dm nikuunge boss wangu🙏🙏🙏✅️✅️ #WATUWEMABADOWAPO  #SINATAMAANAPESAZAWATU #msemajiwamagari

About