@sharartibilliofficial5: 🥹🥹🥹🥹

shararti billi official
shararti billi official
Open In TikTok:
Region: PK
Wednesday 29 April 2026 09:08:11 GMT
1665
158
18
5

Music

Download

Comments

_kh013ff
❤️‍🩹 AHMAD ✌️ :
2026-05-20 20:38:41
0
user6661958141848
freed :
2026-05-01 15:53:37
0
hafeez5442
Hafeez :
❤️
2026-09-25 10:38:39
0
m_aasim786
❤️(●♡ASIM♡)♥╣[-M_A-]╠♥ :
🥰
2026-10-30 01:34:07
0
tahirtahirkhan721
tahir lewany :
🥰🥰🥰
2026-10-27 15:35:14
0
tahirtahirkhan721
tahir lewany :
❤️
2026-10-27 15:34:56
0
turkeybadar4
TR. EDITOR. 🇹🇷☑️ :
🥰🥰🥰
2026-10-04 19:05:15
0
khan98283
ℐℛℱᎯℕ_ᏦℋᎯℕ_❤ :
🥰🥰🥰
2026-10-04 08:19:38
0
warisali21gb
warisali21gb :
❤️❤️❤️
2026-09-01 16:34:35
0
jaan034349
❤️❤️jaan ♥️♥️♥️ :
🥰🥰🥰
2026-08-22 07:48:08
0
user173737954
Ali Khan :
❤️❤️❤️
2026-07-08 15:22:59
0
asafkhan0323
❤محمد شمس افغان 🇦🇫 :
💞💞💞
2026-06-11 08:35:32
0
_kh013ff
❤️‍🩹 AHMAD ✌️ :
@﮼یامان 🧊
2026-05-20 20:39:38
0
sajib.khan.034041
👑SARKAR👑☑️ :
🥰🥰🥰
2026-05-12 15:39:20
0
itx.waheed.khan5
𓂀 𝔸𝕂 𝟜𝟟 𝔾ℝ𝕆𝕌ℙ🏴‍☠️ 𓂀 :
👑👑👑
2026-04-30 13:51:56
0
malik.yasir5142
Malik Yasir :
🥰🥰🥰
2026-04-30 01:46:20
0
ghazanfar.ali369
👑Tawaنi⚔Jaنaن👑 :
❤️❤️❤️
2026-04-29 18:16:37
0
tanhatanha018
tanha :
🌹🌹🌹
2026-10-30 14:20:51
0
waqas_tawas1
WaQaS Tawas :
❤️❤️❤️
2026-04-29 19:34:02
0
To see more videos from user @sharartibilliofficial5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kupandisha vima vya chini vya mishahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha maslahi ya wafanyakazi na kukabiliana na gharama za maisha. Akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar, Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Uwezeshaji, Ali Suleiman Mrembo amesema hatua hiyo imekuja baada ya Wizara kupitia Kamisheni ya Kazi na Bodi ya Ushauri ya Mishahara kufanya mapitio ya viwango vya chini vya mishahara katika sekta hiyo. Kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotangazwa, wafanyakazi wenye mikataba ya maandishi katika taasisi za sekta binafsi watalipwa shilingi 450,000 kwa mwezi kutoka shilingi 347,000 za sasa, huku wafanyakazi wa taasisi ndogo zilizoainishwa katika kanuni wakipandishiwa kutoka shilingi 250,000 hadi shilingi 300,000 kwa mwezi. Aidha, wafanyakazi wa kutwa wenye ujuzi watalipwa shilingi 35,000 kwa siku kutoka shilingi 30,000, wakati wasio na ujuzi watalipwa shilingi 30,000 kutoka shilingi 25,000 kwa siku. Katika kundi la wafanyakazi wa majumbani, wanaoishi katika nyumba za waajiri watalipwa shilingi 110,000 kwa mwezi kutoka shilingi 100,000, huku wale wasioishi katika nyumba za waajiri wakilipwa shilingi 130,000 kutoka shilingi 120,000 kwa mwezi. Kwa upande wa wafanyakazi wa kigeni, kiwango cha chini cha mshahara kimepandishwa kutoka dola za Marekani 1,000 hadi dola 1,500 kwa mwezi. Waziri Ameir amesema Serikali imetoa kipindi cha miezi mitatu kwa waajiri wa sekta binafsi kufanya maandalizi ya bajeti na kurekebisha mifumo ya mishahara kabla ya kuanza kutekeleza viwango hivyo kuanzia Januari mosi mwaka 2027. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending

About