@farmline.ltd: Rahisisha ufugaji,punguza magonjwa,Epuka hasara,punguza gharama za wafanyakazi shambani,fuga kisasa☑️☑️ Maji safi huwakinga kuku na hatari ya kupata magonjwa tutakuhakikishia maji safi muda wote kwenye banda la kuku wako, kwa kufunga mfumo wa maji wa nipples Kama unavyoonekana kwenye chapisho la video. 📍Tupo Dar Es Salaam Temeke vetenari Kama upo mkoani Tutafika na vifaa na tutakufungia mfumo💥 Kama unahitaji vifaa tu peke yake pia usisite kutupigia Piga au whatsApp 0686940893. #farmline #ufugajiwakisasa #farmlife #tiktokviral