@mr.kelvin28: ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ ๐จ ๐๐จ๐ฉ๐จ๐๐ ๐ก๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐ข Damu inapovuja ndani ya jicho inaweza kusababisha uvimbe na kuongeza presha ndani ya jicho. Hali hii huathiri sehemu muhimu za kuona na inaweza kufanya mtu kuona ukungu, kupata maumivu ya jicho, macho kuwa mekundu, au kupungua kwa uwezo wa kuona. Ikiwa haitatibiwa mapema, inaweza kuharibu mishipa ya macho na kusababisha matatizo makubwa ya kuona. Ndiyo maana uchunguzi wa mapema ni muhimu sana kwa afya ya macho. ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ ๐ป๐ฑ๐ผ ๐บ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ.#afya #macho #bilaubasuaji #usa๐บ๐ธ #congolaise๐จ๐ฉ