@sanki_beads: Asali ya kiuno 🌷Chini ya 30 inch – 13,000/= 🌷 Inch 31–40 – 16,000/= 🌷 Inch 41–50 – 20,000/= 🌷 Zaidi ya 50 inch – 25,000/= 📍 Mangomeni Makuti 📱0746281269 #bhuju #beadingtiktok #waistbeads #shanga#feminineenergy
Sanki _beads
Region: TZ
Friday 08 May 2026 11:20:48 GMT
Music
Download
Comments
KHAN👸 :
naomba kujua umenunua wp hicho kiuno na bei gn please
2026-05-09 02:42:30
19
Anna crelia :
zote tatu bei gani
2026-05-10 21:16:14
0
🪴Faidha 🥰💫 :
unapatikana wapi me nataka na shingap
2026-05-22 23:42:14
0
user5617863392035 :
naitaji
2026-05-09 08:20:41
0
Fine Girl Backup :
unapatikan wap
2026-05-09 09:25:28
0
daHuuu :
unamaanish moja au zote bei ndo izo et
2026-05-09 15:47:08
2
maria :
Jumla unauza
2026-05-09 20:22:57
0
fatna96 :
naitaji nipo
2026-05-28 13:09:54
0
jafali wazoni :
mpo wap mie nip zanzibaar natak
2026-05-09 12:38:30
0
idda :
shingap iyo
2026-05-28 06:48:54
0
Dreamer :
Mungu Naomba Unisamee zambi Zangu Ona Sasa Nasimamisha Adi Kwa Mdoli
2026-05-09 13:27:36
1
fadhiluna :
uko wapi?
2026-06-28 12:11:02
0
@lau :
ukowapi
2026-05-09 09:33:48
2
Rukia 😍 :
ya kwanza kiboko ajab☺️
2026-05-08 12:35:27
3
Dee cute🦋 :
Delivery n kwa wateja wa nje na dar tyu?
2026-05-11 10:21:48
0
Hoseok 🌞 :
kiuno chenyewe kipo basi 😓🥹
2026-05-09 10:48:38
1
Ren✝️ :
Uko chin znaenda wapi
2026-05-09 18:50:31
1
Emanuel Gabriel :
weeeee
2026-05-17 13:38:49
0
👌mishy dimples 😘🥰😍 :
mbona no yako yashikwa na mtu mwingine
2026-06-20 17:42:41
0
Ego🔥 :
shingapi
2026-06-19 08:40:34
0
Jenny❤️❤️ :
How much
2026-05-14 06:49:03
0
gracecharles126 :
bujubuj hii ya kwanza how much
2026-05-09 14:38:59
0
To see more videos from user @sanki_beads, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.