@builtbybec: How to repair drywall I grew up in a home where a lot of things weren’t DIY, so when I got older I had to learn a lot myself. It’s not a knock against my parents because they are amazing it’s just something we didn’t do. So I’m hoping this will help someone out there who needs a little extra help. Don’t forget to save this video!

Becca Janis
Becca Janis
Open In TikTok:
Region: US
Monday 11 May 2026 16:11:19 GMT
33364
2302
16
41

Music

Download

Comments

liv612754
liv :
American walls actually scare me
2026-05-25 19:19:16
160
kirtykutter
Kirty :
Pushed all the buttons cause I wanna see you succeed!
2026-05-11 16:20:47
41
itsbrittneymitch
Britt :
I was worried about this hole all afternoon 😂 glad it brought me back for the repair 😁
2026-05-22 11:02:40
12
alongcamepong
alongcamepong :
So helpful, thank you!
2026-05-18 13:48:12
3
mattmcgee5
Matt McGee :
Shit I forgot the priming ste
2026-06-25 16:01:39
0
mer80202
~Mer :
I'm teaching my dad 🤣
2026-07-03 19:38:37
0
samettd23
Angela :
😳😳😳
2026-05-20 00:16:53
1
kayla206677
K💜 :
You don’t need that giant patch
2026-09-17 19:59:23
0
danes00020508
Danes74🇨🇦 :
😁😁😁
2026-06-04 21:57:56
0
agnesejurevica898
Foxisis :
😁😁😁
2026-05-25 13:30:40
0
familyhandyman
Family Handyman :
Hi there. We’d like to share your video—DM us if you’d be interested in a feature.
2026-06-08 11:08:25
0
To see more videos from user @builtbybec, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Anaitwa sayyid Abdallah Shah huyu sheikh alikuwa anapatikana Nairobi nchini Kenya.. sayyid Abdallah shah hakuwahi kuowa ila alikuwa na wanafunzi wengi ambao alikuwa akiwalea na akiwafundisha dini kuna baadhi ya watu walikuwa wakimuuliza sayyid mbona huowi na hauna mtoto majibu yake aliyokuwa akijibu ni kwamba nitakapo owa elimu yangu itakuwa na wivu sana na kama watoto nyie ni watoto zangu.. karama zake ;  kuna siku moja sayyidd Muhamma al MAARUFU mdogo alikuwa amenda kumtembelea kwenye maulid alikuwa pia yupo sayyid Abdallah shah ..  sayyid Abdallah shah alipomuona sayyid Muhammad MAARUFU alifurahi sana kisha akaanza kumwambia kuwa yeye ni nani na ametokea wapi na ana anatakiwa kufanya nini sayyid Abdallah shah alionyesha karama nyingi mpaka ikapelekea wengine waliokuwa kwenye hilo eneo wakiwa wanaumwa.. kifo chake ; katika kipindi cha mwisho wa umri wake sayyid Abdallah shah aliwaaga wanafunzi wake kuwa anaondoka anataka kurudi madina walipomuuliza wanafunzi akasema ninahitaji kufa na kuwa karibu pale ambapo babu yangu amekufa ili niwe nae karibu yaan anahitaji kuzikwa katika mji ama katika ardhi ambayo Mtume Muhammad s.a.w amezikwa.  wanafunzi walimbembeleza na akabakia ila aliwaambia pindi nitakapo kufa ninaomba mnipeleke nikazikwe macca basi sayyid Abdallah shah alipofariki  walimsafirisha na amezikwa Jannat Baqii yaan kaburi la huyu sheikh lipo karibu na kaburi la swahaba wa mtume othman ibn hafan R.A . Allah azidi tia nuru kaburi lake na kwa baraka zake basi atufungulia vifua vyetu na avijaze Nuru Amiin

About