@lucy.mrikaria: Fahamu tofauti kati ya matajiri na masikini kwenye upande wa assets (mali) na liabilities ( madeni) #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #moneycoach #financialliteracy #money

Money Coach
Money Coach
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 May 2026 18:16:57 GMT
296358
8515
182
856

Music

Download

Comments

logeluni.wilifred
Logeluni Wilifred :
napataje hicho kitabu
2026-05-15 10:37:32
3
bonheur_papa
Papa Bonheur :
nchi pia imekopa
2026-05-15 02:48:48
4
ramsonmashiri
Ramson :
i need that book please
2026-05-19 17:32:08
0
user133131766196
user133131766196 :
lakin hata matajir wanakopa
2026-05-15 05:47:06
15
abuu_faitham
AHLUL ATHAR :
ni vyema ungeonesha hayo hizo mali na na aina ya madeni. nadhani unasahau comcept ya accounting equation, biashara haiiwezi kukwepa madeni unasemaje?
2026-05-15 07:19:17
7
user98734266803051
user98734266803051elia :
Ni kweli tunajitahidi
2026-06-06 09:18:38
0
nickye311
Introvert :
Robert anasema pia,maskini anafanya kazi apate hela wakati Tajiri ana hela znawafanyia kazi ili wapate hela.mwamba sana huyu
2026-05-15 06:24:36
4
abely.boe
dizzo @ great🇹🇿🇹🇿 :
liability ,consumption hao ndo maskini lakini matajiri investment ,then consuption🤣🤣🤣
2026-05-24 21:30:49
0
erreur.dargent243
ERREUR D'ARGENT :
Swahili si raisi, Ila na elewa kidogo mambo mapya hapa. Very nice 🥰
2026-05-26 02:43:17
0
mido0138
mido :
hatuna hela si maskini
2026-05-15 06:18:13
0
casmucubic
casmu CuBiC 06 :
well done madame
2026-05-15 14:34:51
0
smart_data_tz
Smart Data Tz :
got it
2026-05-18 13:12:32
0
user60992547445627
user60992547445627 :
hauna darasa naitaji darasa niji funze zaidi
2026-05-22 07:23:53
0
emmamunuo766
Emmanuel munuo :
ww una bugat ngap
2026-05-16 08:27:06
0
markopolo2935
Marko Polo :
nakufollow
2026-05-15 09:27:10
0
user62338203315751
OLIVATZ ❤️💃🌹🎤 :
mali Nini niambie
2026-05-19 08:15:35
2
mtitu3
mtitu3 :
assets ni nini? na liability nini?
2026-05-17 17:37:59
0
j.amiry7
joshuaamiry :
elekeza hizo asset ni zipi sasa tujue sisi masikini
2026-05-15 07:49:39
1
mr.sportztz
mr.Evans :
shida huelezei asset ni nn na liability ni nini?
2026-05-15 15:37:05
2
gmaroller1
🍁Maroller G🍁 :
nimependa hii 🤣🤣 inabidi tubadilike
2026-05-17 22:24:50
1
bravern2
Bravern :
good coach
2026-05-15 05:21:44
0
ayubu.mbaukaa
Ayubu Mbaukaa :
jina ra kitabu nimesahau
2026-05-15 09:09:41
0
user311356177705
user311356177705 :
asante dada kwa funzo zuri.
2026-05-15 06:51:42
0
user9018787699655
user9018787699655 :
Asante sana mama
2026-05-14 19:14:54
3
penina.sweet
🦋it’s me🌸💦 :
Kwanii na ww tajiriii au maskinii
2026-05-15 22:56:11
2
To see more videos from user @lucy.mrikaria, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About