Uliingia kwenye maisha yangu bila kutarajiwa, na sasa ninakuhitaji daima 😘 Kama ilivyo vigumu kwa samaki kuishi bila maji, ndivyo ilivyo haiwezekani kwangu mimi kuishi bila uwepo wako. Kipenzi changu, nakupenda sana, pia nimekuzoea mno my love. Kila siku iendayo kwa Mungu, unazidi kuwa sehemu kubwa sana ya maisha yangu. ❤️🔒
2026-05-16 15:34:32
7
efremmwenda435 :
Mwambie
2026-05-16 18:48:26
1
Arafat :
good night
2026-05-20 17:41:31
1
Daines Kokwakila :
jmn kupitia wee npendwa kutokn na maneno yako usinichoke na hii naihitji ♥️💕💕
2026-05-16 14:36:19
1
MESA SULEIMANI :
alafu kuna mm hii message naipatia passport😭
2026-05-16 22:00:21
0
Njau / laser truck :
Nice
2026-05-24 23:01:55
1
user1439580108863 :
kabisa
2026-05-16 17:52:16
0
Esther Nshama :
Maneno nimepata bado mme 😜
2026-05-17 04:56:42
0
Keke_sng🇹🇿 :
Jaman 🥰🥰🥰
2026-05-16 14:37:35
0
jovitha jovinary :
Nakupenda pia
2026-05-20 11:26:00
0
Hussein Javo :
@love_caption10: Uliingia kwenye maisha yangu bila kutarajiwa, na sasa ninakuhitaji daima 😘 Kama ilivyo vigumu kwa samaki kuishi bila maji, ndivyo ilivyo haiwezekani kwangu mimi kuishi bila uwepo wako. Kipenzi changu, nakupenda sana, pia nimekuzoea mno my love. Kila siku iendayo kwa Mungu, unazidi kuwa sehemu kubwa sana ya maisha yangu. ❤️🔒