Kwani kupostiwa ndo nin kwamba ukipostiwa unapendwa mbona neno ILOVE halimaanishi upendo tena na vipi kuhus hapo zaman mabib na mababu walikuwa hata smu hamna na maisha yanaenda msitushauri mambo meng bhana as long mtu ananiheshimu akichit atajua mwenyewe
2026-05-19 16:15:27
11
Nashmaah :
umeongea ukweli lakini nikijipost nitauponza
2026-05-19 05:20:06
9
am irynlove 🤍 :
imesha iyo
2026-05-18 16:28:00
3
Janney❤️🦋 :
Inauma 💔
2026-05-20 10:37:24
2
Auntie Emmaa❤️🌹💯 :
kweli wako hivo ati privacy
2026-05-19 06:03:39
4
Cathy mhina :
Ila huyu baba mkweli jamani
2026-05-18 20:44:38
9
@mumqueendezy👑👌 :
Hii moja kwa moja hadi kwa status
2026-05-20 01:39:44
3
Merry mwegoha :
amina
2026-05-28 17:00:27
0
Kalikali :
kabisaaaa😅😅😅😅😅😅
2026-05-18 10:17:48
1
@Bihawiya🇰🇪🇹🇿🇺🇲 :
kweli kabisa
2026-05-18 16:47:47
2
Halima :
kwel kabisa 🥰 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-20 09:09:26
1
Ruqaiya ❤️✍️✍️ :
hii nayo pointi ntajiweka status
2026-05-25 08:46:55
1
Victoria sandra (nyasuba) :
vary true
2026-05-20 11:55:07
1
user8286797677603 :
ukweli huo kabisa
2026-05-19 11:40:56
1
vee🍭🌹 :
Me wangu hanifichi bhna 😂
2026-05-19 18:39:57
1
baby teddy💞🥀 :
sasa paswed sijui ntajiposti aje
2026-05-19 13:07:10
1
Miss gaitan 👑 :
n kwel kabisa 😂😂
2026-05-18 11:52:26
1
To see more videos from user @pastor.nick.tz, please go to the Tikwm
homepage.