mwalim unajua na unanikumbusha enzi zangu keep shining young brother 🔥🔥🔥📍
2026-06-01 14:42:52
1
ney Joseph :
teacher Mungu akubariki sana akabariki kaz ya mikono yako coz wenye moyo kama wako ni wachache Saba umenisaidia sana juu ya mwangu anapenda sana kukufatilia
2026-06-02 03:24:11
1
officiial89's,,,,😎🤏🏻. :
sema unajuaaa sanaa mwalim
2026-05-31 23:00:11
1
Ningas :
mwl. nataka kujua 7:00 saa saba au saa moja?? na kama ni saa moja kwa nini mbona tarakimu ni 7 ??
2026-05-31 06:59:10
0
Millennial :
Watanzania hongera kwenu,Mimi unifunze Kwa Kiswahili hicho natoka sufuri bin ziro😁
2026-05-31 12:58:09
0
Emmanuel :
5:45 pm
2026-06-01 06:43:28
1
___mumuh🌸✨ :
Ubarikiwe mwalimu
2026-05-30 14:22:35
2
Mussa Athumani :
17:45
soln:
17:45-12:00=5:45pm
So that:
5:45pm
2026-05-31 03:02:31
1
tifan :
hongera sana mwalim
2026-05-30 13:17:02
1
Pigangoma :
Enditaaa
2026-05-30 15:12:12
1
RAYNA :
nikijifunza kwako,MIEZI sita tu,,Mimi NITAKUWA genius WA hisabati
2026-05-31 17:31:04
2
Alpher JC. :
5:45Pm
2026-05-30 22:23:14
1
azizamghase :
5:45 pm
2026-05-30 15:41:41
1
user8819267075325 :
shukran tena
2026-05-30 13:31:37
0
Oscar Deez :
we jamaa unajua
2026-06-02 19:38:10
0
Noel Yona :
andika 0:00kwa saa 12
2026-06-12 14:30:53
0
user31039109438780 :
5:45 pm
2026-06-03 19:58:59
1
Dr.Sikamona :
saaaaf
2026-06-02 11:50:00
1
Brimany :
ahsante sana
2026-06-08 06:05:21
0
TOP OF THE TOP :
nice ticha
2026-06-03 18:29:55
0
Dr Issujah (GP) :
Hongera sana,,, Mwalimu unajua.
2026-05-30 15:20:14
1
To see more videos from user @mwalimuwamathejm1, please go to the Tikwm
homepage.