@usajiliwetu_: JUST IN: BUBA JAММЕН Yanga Awana Mpango Wa Kuendelea Na Nyota Wake Buba Jammeh Buba Jammeh Alisajiliwa Chini Ya Kocha Pedro Goncalves Katika Dirisha dogo Buba Ameshindwa Kuonyesha Kiwango Kizuri Kilichowaridhisha Viongozi Wa Yanga Na Mpango Uliopo Ni Yanga Kuachana Na Buba Jammeh Katika Dirisha Kubwa ili Wasajili Nyota Wengine Wenye Uwezo Mkubwa Zaidi Ya Buba