@islamicswahilinet: SOMA DUA HII KILA SIKU MARA 100 NA FAIDA ZAKE NI HIZI As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 June 2026 12:07:16 GMT
396649
47281
469
4702

Music

Download

Comments

billymohammed5
Mohammed :
Rehema na amani ziwe juu ya mtume wetu Muhammad(s.a.w).
2026-06-01 13:45:57
243
wizard_gaming.05
TM_WIZARD :
laah ilahaillah Allah wahdahu lasharika la lamulku walahu lhamdu yuhi wayumitu wahuwa Allah kulishain qadir mara 100
2026-06-02 12:41:21
76
azie.darling
Azie🦅🤍 :
Tumswalie mtume
2026-06-04 15:18:57
15
buhayfa
kombez :
ALLAH akutunze shekh akupe umri mrefu wenye manufaa hapa duniani na kesho akhera
2026-06-02 06:19:16
25
mdee.the.best
MDEE THE BEST 🦁 :
Muhammad S.A.W 🥰🥰
2026-06-02 14:29:06
24
user66181228550306
Amina shabani :
mashallah
2026-06-01 18:52:00
18
bakiy.ali
bakiy Ali :
Mimi nasoma lakini ukweli hazifiki 100😭
2026-06-03 19:28:49
6
flywisely3
The wise one :
لا اله إلا الله وحده لا شريك الله له الملك وله الحمد وهو على كل شيء عليم 🍇
2026-06-01 19:08:39
17
shanaiyah.misslove
shaniy2004💝🫶🌠 :
Lā ilāha illallāhu waḥdahu lā sharīka lah, lahul-mulku wa lahul-ḥamdu wa huwa 'alā kulli shay'in qadīr.
2026-06-03 10:52:35
26
khadijayahaya592
Khadija Yahaya :
Hata mimi nitafanya inshaallah
2026-06-04 10:59:48
6
kipendacho_rohoo
KIPENDACHO_ROHOO :
Ḥayyu Yā Qayyūm, bi-raḥmatika astaghīth
2026-06-01 18:05:56
14
davido1tanga
DAVIDO WA TANGA :
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan🥰🥰
2026-06-02 06:30:31
10
batu77728
Official Tuli :
Rehema na Aman zimushukie kipenz chetu bwan mtume Muhammad (S.A.W)
2026-06-04 07:36:50
6
rjna88
️Kanzu Oman ke :
لا اله إلا الله وحده لا شريك الله له الملك وله الحمد وهو على كل شيء عليم 🍇
2026-06-01 21:23:54
34
laty7727
laty :
waislam wezangu tumswalie mtumee Muhammad s.a.w
2026-06-03 20:09:01
5
mrsmuba3
Salma Mussa :
muhamad rassurullah
2026-06-02 14:36:29
5
buda.bos0
Buda bos :
6m
2026-06-01 15:45:32
6
abdully007
عبدالرحيم فاضلي :
سبحان الله الحمد لله لا له الا الله محمد رسل لله آلله اكبر 🥰اللهم صل وسلم عل سيدنا محمد وعل الي سيدنا محمد 🥰
2026-06-01 21:09:23
5
bussinesscollection2
bussinesscollection2 :
لا اله إلا الله وحده لا شريك الله له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير
2026-06-03 11:11:26
9
user8619524997068
Adidja nimubona :
insha allah
2026-06-01 14:06:19
6
salomonyahya
Salomon Yahya :
Allah Akbar mansh'allah
2026-06-01 20:21:19
6
user2206105272452
user2206105272452Mja wa stara :
Swalallahu 'ALLAYH WASALAAM
2026-06-01 13:39:21
8
getrudeamwai361
Mama kylian :
Amiiin Inshaallah 🤲
2026-06-01 13:24:07
7
mohamediissa921
Mohamedi Issa :
inshallah Allah
2026-06-08 12:42:00
1
mwasiti183
Mwasiti :
lailaha ilala
2026-06-08 05:36:55
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About