Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@elcuarteldelmetal: MUNDIAL 2026 CON METAL, SEÑORES!!! Asíes, elegiremos a una banda x país para representar a cada una de las naciones participantes en la #FIFAWORLDCUP 2026! SIUUUUUU #fyp #METAL #FUTBOL
ElCuartelDelMetal
Open In TikTok:
Region: CL
Tuesday 02 June 2026 21:20:21 GMT
702
15
1
4
Music
Download
No Watermark .mp4 (
5.33MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
5.33MB
)
Watermark .mp4 (
5.33MB
)
Music .mp3
Comments
bepmdl :
usted es el gran mister chispeza
2026-06-03 03:00:16
0
To see more videos from user @elcuarteldelmetal, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
DJ SELAIN DONATUR DILARANG NGATUR🎧(SLOWED&REVERB)#jedagjedug #aveeplayer #soundviral #foryou #djfullbass
Set xinh xỉu #setxinh #moingaymotoutfitxinh #outfitxinh #xinhdep #xuhuong
#Hanzzy⚡ #storykatakata #storywa #presetalightmotion #hanzzy_story
Aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Omary Salum Ally, amedai kulala nje kwa siku sita yeye na familia yake, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na vitu vyao kutolewa nje kwa madai kuwa yeye si mwalimu wa shule hiyo tena. Mwalimu huyo alihamishwa kutoka shule ya Karansi kwenda Shule ya Sekondari Dahani wilayani humo, Novemba 2025, lakini aliendelea kuishi nyumba ya shule, akidai katika kituo kipya alichopangiwa ana hofu ya usalama wake. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwalimu Omary amesema awali aliomba kuhamishiwa Jiji la Tanga, lakini ombi lake lilikataliwa na badala yake akahamishiwa Dahani, ambako anadai kituo hicho si salama kwake. "Nilihamishwa na Mkurugenzi na kukabidhiwa barua Novemba 2025,baada ya kupokea barua ile kama ilivyo ada kwa mtumishi,kuhamishwa kwanza ni jambo la kawaida kwa mtumishi,nilitii hiyo amri kwa maandishi nikaripoti katika kituo cha Dahani. Baadae tatizo lilianza katika kufuatilia haki,stahiki kwa maana ya kulipwa,hapo kukawa kuna sintofahamu nyingi. Katika ufuatiliaji huo sikuchoka baadae nikaja kulipwa Sh. 360,000 Ikatoka amri nitoke na watoto mazingira haya kama mnavyoyaona niende huko nilikopangiwa Dahani sekondari". Mimi nina hofu na hapo, nilimwambia mkurugenzi anipe kituo salama cha kazi hapo mimi ninahesabiwa ni mtoro na mpaka hapa nina mashtaka matatu,kwanza kutotii mamlaka, nikaijibu kisheria,ikaja barua nyingine maana ninaweza kuathirika daraja lakini nikasema daraja siyo kitu mbele ya uhai kama unavyoona watoto wangu mimi wadogo" Omary amesema wakati akiendelea kushughulikia malalamiko yake hayo, Septemba 12, 2026, watu waliodaiwa kutoka Utumishi. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Alfred Myombo, amekiri mwalimu huyo kuondolewa katika nyumba ya Shule ya Sekondari Karansi kwa kuwa siyo tena mwalimu wa shule hiyo, hivyo nyumba hiyo ilihitajika kumpisha mwalimu mwingine aliyepangiwa kituo hicho.
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy