@jkizondo_swahilibites: This life is so unpredictable!! Press those uplifts button on always!! @officialzuchu #jkizondoswahilibites #husbandwife #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers

JKizondo Swahili Bites
JKizondo Swahili Bites
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 04 June 2026 04:25:09 GMT
25591
2236
177
142

Music

Download

Comments

bashmummy
bashmummy :
Allah awape masikizano nafura daima
2026-06-04 08:39:27
17
mdawida237
إبراهيم :
Walai kama kunah relationship hunijengea day ni hii 🤲🤲,
2026-06-04 05:34:01
24
modtherdani
Modther Dani :
Good wife happy life 💝💝
2026-06-04 09:22:26
3
fareed_khamis
fareed-khamis :
Happy wife happy husband. Much respect to you guys
2026-06-04 09:28:43
1
rizikiomar855
mummy fahyma :
Allah awazidishie muzeeke pamoja na furaha idumu lv u guys nd we are proud of u swahili lady
2026-06-04 07:06:04
6
dorsha31
doreen Shambi :
sasaaaaa nawaomba turegeshe meno ndani😆🥰
2026-06-04 05:12:28
5
amir95.co
Amir Khamis :
Eh MUNGU. mfanye mkewangu awe mwehu kama huyu anipunguze stress
2026-06-04 09:49:29
1
ishary.cute
ishary cute :
Munguawaeke jamani nimecheka sana leo 🥰🥰🥰😂😂😂
2026-06-04 09:22:21
1
freedaz1
freedaz :
Rahaa kweli nataka mmja nizeeke nae kama hawa😂😂😂🥰🥰
2026-06-04 09:28:33
0
mamypj1
mamypj1 :
husband ananenepa mnoo
2026-06-04 09:36:38
0
hyberakbar009
Ummu fatma collection🌺 :
Mashaallah Hadi raha Allah azidi kuwapa maelewano na furaha🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
2026-06-04 09:35:43
0
term085
term085 :
lazima stress zitoke tu, na zikishatoka atazirejesha uyo uyo aliezitia
2026-06-04 04:56:08
10
babysoffy2
Cuty Baby's ❤️❤️❤️🤝🤝 :
jamni Mungu awape Maisha marefu mana mumetiana mazoea Sana 🙏🙏🙏
2026-06-04 06:29:20
2
fatmas_touch_
fatmas_touch_ :
Allah awahifadhi ma best couple
2026-06-04 09:35:56
0
its_.zee26
🍫 chocolate_Queen🍫 :
This kind of relationships that’s all I wish wallah 🤌🥹
2026-06-04 07:22:01
1
key349524
key :
it can't get better than this, Allah bless you two and your lil girl's more joy and barkah. Allah kareem.
2026-06-04 07:29:52
1
mamuu.cha
mamuu cha :
i like ur marriage relationship..Allah awaongoze katika kila kher
2026-06-04 09:28:54
0
user4381303500668
Binti jei :
Allah anijaalie nipate wangu ninae endana nae kama hii couple, nawapenda sana huwa siezi pita video yenu🥰
2026-06-04 09:31:08
0
susu_heenaartist0
🌺Susu Banana🌺 :
Umefanya Nimecheka mashallah Allah awazidishie furaha kwenye ndoa yenu
2026-06-04 08:06:11
3
fadhila.kizondo
Fadhila Kizondo :
hayo mawani ssa dadake🥰
2026-06-04 07:13:10
1
awatifrajab400
awattifrajab :
MashaaAllah kuishi wawili raha hasa mkiwa mnapendana. Allah awazidishie mapenzi mpk kifo kiwenganishe. Amiin
2026-06-04 06:16:09
1
uba.salim3
uba salim :
Mashallah Mungu Wabariki na Familia yenu Inshallah
2026-06-04 06:44:10
1
weshmijay
wema :
aaw nikikua nataka kua kama nyie 🥰mashaAllah vibe humalizi
2026-06-04 04:33:15
3
tinambithe2
tinambithe :
nawapenda bure strangers.. Mungu wapatie maisha marefu🥰🥰
2026-06-04 06:01:27
2
To see more videos from user @jkizondo_swahilibites, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About