@plugsync_1: Mwanangu! kwa hakika riziki aliyopangiwa kobe daima haiwezi kiwekwa juu ya mtu. . . Mungu ni fundi katika ugawaji wa riziki, kila mja anapata kwa wastani na ustadi wa aina yake. . . #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼 #burunditiktok🇧🇮