@siasatz: Tujifunze kwa uchache ukubwa wa Mamlaka ya Urais kikatiba na sababu za Rais kuwa na mpambe wa kijeshi anaefuatana nae nyakati zote. Kama somo la uraia lilikupiga chenga na kwa mujibu Kihangaiko uligoma kwenda basi pata shule kwa Prof Kabudi. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30 #MaktabaYaMaarifa

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 21:00:43 GMT
47448
1605
14
66

Music

Download

Comments

don_pablo955
PABLO :
Kwaiyo ata akiwa wakiume ni mpambe?
2026-06-10 05:46:23
1
philosophermtumik
PhilosopherMtumik@ :
bunge lilikula lecture 😁😁
2026-06-11 17:26:14
1
kipenzi618
Kipenzi :
Sahihi kabisa
2026-06-22 05:16:06
0
22decorfurniture
22DECOR_FURNITURE _DESIGNING :
Labda na Mimi Nina mtazamo kidogo kwann Rais anapo hutubia au kufanya ziara yeyote kwann wale wanao taarifa za uwepo wake sehemu waweke bayana Raisi anakuja kama Nan kama Amiri jeshi mkuu,au kiongozi wa nchi au kama kiongozi wa serikali itasaidia kurudisha uhasiano na wananchi wake
2026-06-12 09:30:49
0
wonder.autopart
wonder autopart :
Ukiskia chawa pro ndo huyo hata hao wakina baba levu wakasome
2026-06-12 14:35:14
1
asujux
asu :
rais gani alisha wahi kuwa na ADC raia?
2026-06-25 21:18:07
0
maddywhiteflavour
MaddyShetty :
😅😅😅
2026-06-20 13:11:02
0
babdullah4
babdullah🫀💘 :
💯💯💯
2026-06-10 20:51:26
0
pankrasi4
pankrasi mibara :
😂😂😂
2026-06-10 04:37:57
0
offical_efm008
Emma008 :
😎
2026-06-10 04:34:50
0
peter.musoma97
Peter Musoma :
🥰🥰🥰
2026-07-01 09:24:08
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About