@osteolife_tz: Sayansi ya mimea tiba inathibitisha kuwa... Rosemary ni zaidi ya kiungo cha chakula! Ndani yake kuna viambata hai viwili vyenye nguvu kubwa kibaiolojia: Rosmarinic Acid - Inazima inflammation inayosababisha maumivu ndani ya goti na athari za arthritis! Camphor na Eucalyptol - Mafuta asilia yanayotuliza mishipa ya fahamu ya eneo lililoathirika! Pia kuongeza mtiririko thabiti wa damu kwa ajili ya uponyaji. KWA MSAADA NA MWONGOZO ZAIDI... Wasiliana nasi kupitia +255 757 432 186! #kneepain #bonehealth #usa #osteolife #Lifestyle

Osteolife
Osteolife
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 01:52:30 GMT
5304
121
2
78

Music

Download

Comments

tuma5174
Tuma :
kumbe iiii
2026-06-16 19:16:16
0
khadijamussa91
khadijamussa91 :
rozmery ndomtigani jamani
2026-06-16 13:07:13
0
To see more videos from user @osteolife_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About