@zain.gfx08: part 44 | this song❤️‍🔥🎧 >>| bare minimum🫣🎧 - - #lyrics #song #bareminimum #100k #fyp - - cr : @mellowwaa

𝐙𝐚𝐲𝐧𝐳𝐥𝐲𝐫𝐢𝐜𝐬 𝐒𝐂𝐑
𝐙𝐚𝐲𝐧𝐳𝐥𝐲𝐫𝐢𝐜𝐬 𝐒𝐂𝐑
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 16 June 2026 07:18:35 GMT
1450
222
15
16

Music

Download

Comments

takabercanda
Takas Versi Jahat :
where did you get the lyrics bro?
2026-06-16 08:08:58
1
haiiaooo
. :
nih gw mampir
2026-06-16 07:30:26
1
buyhanzzllyrics5
llyrics📩 :
2026-06-16 07:28:07
1
abcd.who0
–LuzivertNS :
2026-06-16 07:27:31
0
To see more videos from user @zain.gfx08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameitaka Serikali kupitia upya utaratibu wa kuwataka madereva wa magari makubwa kurejea darasani na kufanya mitihani kwa ajili ya kuhuisha leseni zao, akisema hatua hiyo inaathiri maisha ya madereva wengi na familia zinazowategemea. Akichangia bungeni, Musukuma alisema madereva wengi ni watu wa kipato cha chini ambao maisha yao yanategemea moja kwa moja kazi ya udereva, hivyo kuwalazimisha kukaa darasani kwa wiki kadhaa na kufanya mitihani kunawaweka kwenye mazingira magumu kiuchumi. Alieleza kuwa baadhi ya madereva wameendesha magari kwa zaidi ya miaka 30 bila kuwa na historia ya ajali, lakini bado wanatakiwa kurudi darasani, kufanya mtihani na kukabiliwa na hatari ya kupoteza leseni zao iwapo watafeli. Musukuma alisema hali hiyo inaweza kusababisha baadhi ya kampuni kusimamisha magari mengi kwa wakati mmoja kutokana na madereva kuwa masomoni au kushindwa kufaulu mitihani, jambo ambalo linaathiri shughuli za usafirishaji na uchumi kwa ujumla. “Dereva ameendesha gari miaka 30 hana historia ya ajali, hana tatizo lolote, ana familia zinamtegemea, unamrudisha darasani kusoma wiki tatu halafu ukimpa mtihani akifeli unamwambia arudi nyumbani. Hiyo si sawa,” alisema Musukuma. Mbunge huyo aliiomba Serikali kuangalia upya masharti hayo ili kulinda nguvu kazi ya madereva na kuhakikisha sekta ya usafirishaji inaendelea kuchangia ukuaji wa uchumi bila kuwawekea vikwazo visivyo vya lazima watendaji wake muhimu #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni#DarEsSalaam #Tanzania #Bongo#Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews#BongoUpdates #TzUpdates #TzNews#BongoMedia #MediaTanzania#OnlineTV#RoadTo10#instagramtanzania#TeamChawamata #SupportLocal#TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ#madeintanzaniawithlove

About