@islamicswahilinet: NABII MUSSA ALIOA MTOTO WA NABII NANI? As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 14:01:18 GMT
Music
Download
Comments
Ferari45 :
mtoto wa Nabii Yaqub (A.S) na mtoto mwenyewe anaitwa iliya na mdogo wake anaitwa Yussuf (A.S)👍
2026-06-19 11:04:03
4
G£r°Låw :
shuaib
2026-06-25 14:54:16
1
Alwattan 20 :
Inasemekana ni mtoto wa Nabii Shuayb عَلَيْهِمُالسَلَامُ
2026-06-16 19:03:53
9
🤫waled🤫🤫 :
alimuoa binti wa Nabii Shuayb (A.S.).
2026-06-16 19:38:52
8
Mwanga jr :
Nabii Musa (A.S.) alimuoa binti wa Nabii Shu'ayb (A.S.).
2026-06-24 16:57:25
4
karatas :
Nabii shuaib (A.S)
2026-06-27 16:06:02
0
A class :
mtoto wa Nabii shu'aybu
2026-06-17 08:38:23
5
Abir Ssabil :
shuaib
2026-06-16 14:33:39
3
Buha :
Nabii shuayb as
2026-06-25 04:02:11
0
abeidkamtoi422 :
nbii shuaybu
2026-06-16 20:34:30
2
꧁༒☬محمد بن لافاميليا 33☬🎭🤍🫀 :
Alioa mtoto wa Nabiy Shu'ayb Alahiy Sallam
2026-06-17 04:50:02
3
Shavi_maestro :
Nabii shuceyb 🥰🥰🥰
2026-06-16 14:22:21
2
DEMBELE 254 :
shuayb
2026-06-18 19:40:46
1
ally J :
shuaiyb alayh salam
2026-06-17 08:47:56
1
Shee Jefa :
allowance mtoto wanabi swaibu
2026-06-16 14:38:45
1
Mahanyu jr tz :
zakaria
2026-06-17 09:59:50
1
salumaboud349 :
Nabil yakubu
2026-06-18 16:20:03
1
Nassor :
ayabu
2026-06-16 14:18:29
0
Mike Söñ :
yakubu
2026-06-19 06:16:08
0
uislam ni nuru :
subhanaka
2026-06-18 06:47:10
0
DRANAZ :
shuyaibu
2026-06-19 11:06:23
0
misheeali2 :
nabii shuaib
2026-06-27 14:45:55
0
mama babi :
nabii ayub
2026-06-19 07:01:04
0
scenario :
shuaib
2026-06-24 16:55:46
0
Jamila Salim :
aybu
2026-06-16 15:05:58
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.