@afyanimtajiofficial: 🔥 MIGUU YAKO INAWAKA MOTO MARA KWA MARA? Usiichukulie kawaida! Tatizo la miguu kuwaka moto linaweza kuwa ishara ya changamoto kwenye mzunguko wa damu, neva au upungufu wa baadhi ya virutubisho mwilini. ✅ Fanya hivi: ✔️ Kunywa maji ya kutosha ✔️ Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara ✔️ Epuka kukaa au kusimama muda mrefu ✔️ Pata lishe bora yenye vitamini muhimu Afya bora huanza kwa kuchukua hatua mapema. 💪 📩 Tuma ujumbe kwa ushauri zai #HealthyLiving #MaleHealth #FemaleHealth #LifestyleTips #ViralTanzania