@saobizeverywhere: Hoa hậu Thanh Thuỷ hào hứng trước những sản phẩm của SK-II trong chuyến tham quan triển lãm Miracle Journey tại Nhật Bản #saobizeverywhere #SKII #SKIIVN #PITERA #PITERAHAJIMARI

Saobiz Everywhere
Saobiz Everywhere
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 20 June 2026 09:21:30 GMT
2164
15
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @saobizeverywhere, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

1. Эффект зеркала Этот трюк заключается в том, чтобы немного копировать поведение собеседника — его жесты, мимику или тон голоса. Это создает ощущение доверия и комфорта, так как люди склонны чувствовать себя более связанными с теми, кто на них похож. 2. Принцип
1. Эффект зеркала Этот трюк заключается в том, чтобы немного копировать поведение собеседника — его жесты, мимику или тон голоса. Это создает ощущение доверия и комфорта, так как люди склонны чувствовать себя более связанными с теми, кто на них похож. 2. Принцип "недостатка" Когда что-то воспринимается как дефицитное, его ценность увеличивается. Используйте это в своих интересах: если вы хотите, чтобы кто-то больше ценил ваше время или внимание, делайте так, чтобы его было меньше. Например, ограничьте количество встреч или общения. 3. Позитивная обратная связь Когда вы хотите, чтобы кто-то изменил свое поведение или принял ваше мнение, начните с комплимента или положительной оценки. Это создаст более благоприятную атмосферу для обсуждения и повысит вероятность того, что человек откликнется на ваши предложения. 4. Вопросы "да" Начинайте разговор с вопросов, на которые собеседник может ответить "да". Это создаст позитивный настрой и установит согласие. Например, вместо того чтобы спрашивать: "Вы не против сделать это?" спросите: "Вам нравится работать в команде?" Это поможет создать атмосферу сотрудничества. 5. Эмоциональное вовлечение Люди чаще принимают решения, основываясь на эмоциях, чем на логике. Если вы хотите убедить кого-то в чем-то, постарайтесь вызвать у него эмоциональный отклик. Используйте истории или примеры, которые могут затронуть чувства собеседника и помочь ему увидеть вашу точку зрения. Эти психологические трюки могут быть полезными в различных ситуациях — от личных отношений до профессионального общения. Однако важно использовать их этично и с уважением к другим людям. #фильм #фильмы #фильмнавечер #сериал
Jengo la Kanisa la Victory Gospel Assembly lililopo chini ya Askofu Paulo Shemsanga limebomolewa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa uwanja kati ya familia ya Mzee Wilfred Mwankuga Mwanjala na Askofu Shemsanga, katika Kiwanja Namba TMK/KEKOMAGURUMBASI A2/122 kilichopo Mtaa wa Magurumbasi A, Kata ya Keko, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Familia ya Mzee Wilfred Mwankuga Mwanjala inadai kumiliki hati halali ya makazi ya eneo hilo yenye namba TMK002389, ikisisitiza kuwa ubomoaji huo umeendeshwa kwa mujibu wa sheria kufuatia kushindikana kwa mashauriano na makubaliano ya awali kati yao na uongozi wa kanisa hilo. Akifafanua chanzo cha mgogoro huo, Elisha Wilfred, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mzee Wilfred, ameeleza kuwa familia yao ilinunua eneo hilo mwaka 1991 na baadaye baba yake alimkaribisha Mchungaji Paul Shemsanga kutumia kiwanja hicho kwa ajili ya ibada kukiwa na makubaliano maalum kufuatia kanisa kukosa eneo. Hata hivyo, Elisha amebainisha kuwa mwaka 2002 Mzee Wilfred alisitisha makubaliano hayo kwa barua rasmi na kumtaka Askofu Shemsanga kurejesha eneo hilo lakini halikurejeshwa. Ameongeza kuwa hata jitihada za maridhiano zilizofanyika tena mwaka 2019 hazikufanikiwa kutokana na upande wa kanisa kukiuka masharti, hatua iliyomfanya baba yake kuchukua mkondo wa kisheria ili kurudishiwa eneo lake. Kwa upande wake, mchungaji wa kanisa hilo, Mch. Flora V. Shemsanga, ameeleza kuwa walipata taarifa za watu kufika katika eneo la kanisa usiku wa kuamkia Agosti 18, 2026 wakiwa na zana za ubomoaji, wakisindikizwa na walinzi wa kampuni binafsi. Amesikitishwa na hatua hiyo huku akidai kuwa upande wa kanisa haukuoneshwa kibali chochote cha Mahakama wala wakili wao kushirikishwa kwenye shauri lolote lililoamuru kuondolewa kwao.#view ##tranding #tiktoktanzania🇹🇿

About