Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@sipapasi_paga12: #fyp #viralvideo #tanjungpinang #tepilauttanjungpinang #xyzbca
Opett"
Open In TikTok:
Region: ID
Saturday 20 June 2026 17:43:45 GMT
5914
234
11
22
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.55MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.55MB
)
Watermark .mp4 (
1.55MB
)
Music .mp3
Comments
Rerena04 :
wassekkk
2026-06-27 16:15:36
2
mela0111 :
heee aaa
2026-07-07 16:07:54
1
Yanie :
Asekkkkk
2026-07-03 09:33:27
1
syiah :
😂😁👍👍👍👍
2026-06-24 05:12:40
1
Dar Mawi :
😂😂😂
2026-06-21 10:38:27
1
To see more videos from user @sipapasi_paga12, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Bro, umri wa miaka 25-30 sio umri wa kufanya mzaha. Si umri wa kula ujana. Ni kipindi ambacho maisha yanaacha kukulaghai na yanaanza kukuonyesha ukweli. Kati ya miaka 25–30, reality inapiga kwa nguvu. Unaamka na kugundua muda haupo tena. Unaanza kuhesabu miaka badala ya ndoto zako. Unatazama watu wanaendelea, halafu wewe unahisi bado upo nyuma. Cha uchungu unakuzidi zaidi,, kama mwanaume, hakuna watu wengi wanaosimama kusikiliza matatizo yako. Watu wanatarajia ujipange mwenyewe. Ndiyo maana unabeba maumivu na presha Yako kimya kimya. • Presha ya kufanikiwa. • Presha ya kutafuta pesa. • Presha ya kusaidia familia. • Presha ya kuwa “mtu fulani”. Ndani yako unajiuliza: “Nimefail wapi?” “Nilipoteza miaka yangu bora?” “Mambo yatabadilika kweli?” Bro, nikwambie ukweli; hiki kipindi hakijatengenezwa kuwa faraja. Kimetengenezwa ili ujijenge kupitia maumivu, kukataliwa, kufukuzwa na kuumia zaidi. Hapa ndipo wavulana wanakuwa wanaume, au wanabaki wavulana milele. 🕒 1. Kubali Ukweli: Muda Haukusubiri. Muda hautosimama kwa sababu unaogopa, umechanganyikiwa au maisha hayakuwa fair. Kila mwaka unaochelewesha kuchukua hatua, unaulipa kwa majuto. Huu sio msimu wa kufuata starehe. Ni msimu wa kufuata mwelekeo wako wa maisha. ❤️ 2. Usifanye Mapenzi Kuwa Suluhisho. Acha kufukuzia wanawake kama ndiyo jibu la maisha. Mapenzi ni mazuri, ndiyo, lakini: • Mapenzi bila uthabiti yanakumaliza. • Mapenzi bila lengo yanakupoteza. • Mapenzi bila kukua kifedha yanakuvunja. Mwanamke anaweza kukaa na wewe ukiwa una pesa, lakini heshima hupungua pale maendeleo yanaposimama. Huhitaji kuwa tajiri leo, lakini onyesha jitihada, dira, na ukuaji. Epuka wanawake wa kudai tu: muda wako, pesa, attention. Wanakuchosha akili na mifuko yako. Mwanamke wa kujenga naye maisha analeta amani, sio presha. Analeta Msaada, sio stress. 💰 3. Jifunze Kuhusu Pesa Mapema. Pesa hazikupi furaha, lakini kukosa pesa kunakunyenyekeza vibaya. Jifunze jinsi pesa inavyofanya kazi, hata kama ni ndogo. Pesa ndogo hufundisha nidhamu, subira na control. Acha kutumia pesa kuonyesha watu. Acha kununua vitu usivyohitaji ili kufurahisha watu ambao hawatakusimamia siku maisha yatakapokupiga. Wekeza kwenye skills. Jifunze kitu chenye thamani online au offline. Skill itakupa confidence ambayo pesa peke yake haiwezi. 🚫 4. Ua Addiction zako Mapema. 🫴🏾Pombe. 🫴🏾Dawa za kulevya. 🫴🏾Porn. 🫴🏾Kamari. 🫴🏾Party zisizoisha. Havikupumzishi bali vinakuchelewesha. Vinaiba focus. Vinamaliza nguvu. Vinaufanya wastani uonekane sawa. Mwanaume asiyeweza kujidhibiti hawezi kudhibiti future yake. 🙏 5. Rudi Kwa MUNGU kwa Dhati. Usimtafute Mungu pale tu mambo yakiharibika. Mfanye awe msingi wako. Omba hekima, si pesa tu. Omba nidhamu, si baraka tu. Muamini Mungu lakini fanya kazi kwa bidii. Imani bila juhudi ni matumaini tu. 🧠 6. Usikate Tamaa. Ni sawa kulia. Ni sawa kuchoka. Ni sawa kukata tamaa kwa muda. Lakini elewa hili: huna option ya kuacha. Kama mwanaume, hakuna mtu anayekuja kukuokoa. Maumivu yako ni Siri. Lakini mafanikio yako yatawabeba wengi. Acha kutangaza mipango yako. Anza kimya kimya. Acha Matokeo ndiyo yapige kelele. ✅ HITIMISHO. Kati ya sasa na mwisho wa 2026, maisha yako yanaweza kubadilika kabisa. Si kwa motivation. Si kwa kutamani. Lakini kwa: nidhamu, consistency, na sacrifice. Siku moja utakaa chini useme: “Ilikuwa upweke. Ilikuwa ngumu. Lakini sikukata tamaa.” Na siku hiyo Bro, utaelewa kwa ni kipindi kilichokuwa muhimu sana. 👉 Share hii post kwa mwanaume unayejali. 👉 Nifollow kwa mada zaidi za maisha na mahusiano. #selemanisogo72 #MotivationTZ #DisciplineMindset #KenyaTikTok #FYP2026
Thùng 6 bịch khăn giấy rút caipiao #khangiay #khangiayrut #xuhuong
#unfrezzmyaccount
Ma Pasy Khpalo Khalko Kha Ow Na Wel😢✋ #foryoupageofficiall #pashtopoetry #trending #1mviews #fyp
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy