@neyga800: Xamse - Abwaan geesi Aun .❤️🥹🫶🏼 #Alone #public #7m #🎇

￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴ ￴ ￴
￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴ ￴ ￴
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 22 June 2026 09:29:27 GMT
1220
161
1
43

Music

Download

Comments

.o.o.782
KN . VIBES 🦇 :
aun ❤️
2026-06-22 09:30:55
2
To see more videos from user @neyga800, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mungu anajua kuna vitu ulivipoteza kama vile amani ya moyo,afya,uchumi,ndoa,furaha n.k,na Mungu huwa ana urejesho wa kurudisha kila kilichopotea. Jukumu lako ni kuomba kwa bidii bila kukata tamaa kila kitu kinakuwa sawa kwako.. Haya ni maombi yatakoyakusaidia kuomba kwa bidii na kurudisha kila kilichopotea  MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth  Ninakushukuru kwa neno lako  Ninakushukuru kwa huruma yako kwangu katika jina la Yesu Kristo  maana imeandikwa  📖Luka 19:10
Mungu anajua kuna vitu ulivipoteza kama vile amani ya moyo,afya,uchumi,ndoa,furaha n.k,na Mungu huwa ana urejesho wa kurudisha kila kilichopotea. Jukumu lako ni kuomba kwa bidii bila kukata tamaa kila kitu kinakuwa sawa kwako.. Haya ni maombi yatakoyakusaidia kuomba kwa bidii na kurudisha kila kilichopotea MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth Ninakushukuru kwa neno lako Ninakushukuru kwa huruma yako kwangu katika jina la Yesu Kristo maana imeandikwa 📖Luka 19:10 "Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Baba Nakuja mbele zako Narudisha amani ya moyo wangu iliyopotea Narudisha uchumi wangu uliopotea Narudisha Afya yangu iliyopotea Narudisha kazi yangu iliyopotea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai maana imeandikwa 📖Yoeli 2:25 "Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu". Baba ninakusihi Rudisha miaka yangu iliyopotea na pombe Rudisha miaka yangu iliyopotea kwa kuibiwa na adui Rudisha miaka yangu iliyoibiwa na laana za ukoo Rudisha miaka yangu iliyopotea kwa kukosa maarifa ya kukujua wewe katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie kuanzia sasa Ninaamuru Magonjwa yaondoke kwangu Kukataliwa kuondoke kwangu Nguvu za giza ziondoke kwangu katika jina la Yesu Kristo Bwana Yesu Nipe neema ya kulisoma neno lako Nipe neema ya kukujua wewe zaidi Nipe neema ya kutokurudi nyuma kwenye jambo lolote lile katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai ************************************************Kwa msaada zaidi wa kujifunza neno la Mungu pamoja na ushauri na maombezi na kujifunza kuomba nitafute nitakusaidia napatikana kwenye namba zifuatazo +255685627663 +255610106040 #creatorsearchinsights

About