Yani nyiny masikali bas2 hamna msaada nyie hamna jamniiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-22 19:43:25
17
chuga :
eeeeeee😂😂😂😂😂
2026-06-22 20:29:51
2
HOME GAME ARENA :
napenda hii style ya trailer kwanza alafu full stor inafuata😄
2026-06-22 22:20:45
2
Mr huruma :
Safi sana haya mauaji yamezidi sana
2026-06-22 20:33:57
9
Saidi Mshana :
wataelewa tu.
2026-06-22 20:17:31
8
🐌🐌snailshanelavilas🦋🦋 :
asanteniiiii
2026-06-22 21:01:37
4
James Noely :
mh 🤔🤔 ni hatariiiiiiiiiii 🫣🫣🫣
2026-06-22 21:37:21
1
star boy :
like kwa mwandishi 🔥
2026-06-22 20:58:49
6
Mejjatreezy Wizz Mdudy :
mm na koment naitfta🥺
2026-06-22 19:47:15
8
Porini tours & safaris :
Hamna kitu apoo
2026-06-22 20:23:41
5
Barry23 :
saafii 😏
2026-06-22 19:48:46
3
Prisca Andrea :
duuuh aiseeee
2026-06-22 20:02:39
5
JOPALII :
kwani utaratibu ukoje?? nakama wwe haupo oficin upo nje ya mkoa kikazi au bize na majukumu mengine nje ya ofisi tuna fanyaje??
2026-06-22 21:59:21
0
Simba 🦁 boy :
hakuha mengi sana
2026-06-22 21:27:05
0
Prisca Andrea :
ee ngoja
2026-06-22 20:05:20
4
Shaidu :
hakuna kitu hapo
2026-06-22 21:18:10
0
Na :
Mme weza ndugu zang 🙏🏻🙏🏻
2026-06-22 19:55:48
4
Dalali Kasale. Arusha kwamrefu :
Wamasai hawatakagi upuuzi
2026-06-22 19:52:07
12
mzee mmoja bazenga :
yani wamasai mnaita wananchi
2026-06-22 20:59:02
0
jadden :
@jadden:n::Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-22 20:31:41
2
OLE SAMBEKE :
wamasai wamechafukwa wangepewa wampige mkuu Atafimbo mbili jamani 🙏
2026-06-22 20:22:20
4
Peace Abesiga :
Hawa Masai ni shidaaaa
2026-06-22 19:49:05
3
To see more videos from user @mzeewaovyo0, please go to the Tikwm
homepage.