@shukranimpomwa: Mbarikiwa asema Heche na wanachadema ndio wanaohubiri injili ya Kristo. Sio akina Mwakasege, Magembe, Mwamposa nk. https://www.amazon.com/dp/B0H63CGMM9 SULUHU-SOLUTION-ENGLISH https://www.amazon.ca/dp/B0GX2ZQMHH SULUHU - KISWAHILI Ni kitabu kipya kilicho katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza nilichokiandika nikiwa mafichoni katika hali ya mateso makali baada ya kukimbia nchi yangu Tanzania mara baada ya kuuwa kwa mwanangu wa pekee, mimi kufungwa gerezani, mke wangu pamoja na waumini kufungwa mahabusu ya polisi, kuuawa kwa watu wangu wa karibu akiwemo binti yangu SIFA BUJUNE NA MARIAMARTHA KAILEMBO nk. Lakini mbaya zaidi miezi sita baada ya kukimbia nchi kifo cha utata cha mama yangu mzazi ambapo polisi walipiga marufuku ya kupiga picha ya aina yoyote wakati wa mazishi. Kitabu hiki nimekiandika nikiwa katika hali ya majonzi makubwa na maumivu yasiyoneneka, kimelenga kuonyesha SULULU ya haya yote yaliyonipata na yanayowapata wanadamu wengine kote duniani Kiko AMAZON kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Utakaposoma kitabu hiki tafadhali mfikishie mtu anayeweza kuchukulia uzito yaliyoandikwa humo. Au yafikishie mashirika, taasisi, umoja wa mataifa, Ulaya, Afrika na mtu yeyote au kundi lolote linalotafuta SULUHISHO LA KUDUMU LA KUITULIZA DUNIA
YANYOSHENI MAPITO YA BWANA.
Region: TZ
Wednesday 24 June 2026 17:27:55 GMT
Music
Download
Comments
Kisa Kibona :
Mungu akutunze baba
2026-06-25 07:52:09
16
Bite Shayo :
Muache Mwakasege tafadhali
2026-06-25 10:19:24
6
Mariam Omary :
aminaa
2026-06-24 18:07:41
8
sam :
amen mtumishi wa mungu unaongea ukweli ukweli UKWELI
2026-06-25 08:01:02
17
user6569407465881 :
Ukianza kumsema Mwakasege unanikwaza sana...
2026-06-26 14:17:03
1
Ney 20197 :
point Heche
2026-06-25 00:15:29
6
apollomtiifudanie :
umebarikiwa na ubarikiwe kama jina lako
2026-06-25 22:43:11
6
bby :
u a very correct. why your so clever like this? how dd u know?
2026-06-27 22:22:41
1
MRS YUSUPH :
hakika baba
2026-06-24 19:09:15
10
KANDIwITI@ mijengo :
hakika mungu àkujaze zaid
2026-06-24 18:30:55
9
jeremia mwasomola :
Leo nimekuelewa sana
2026-06-25 12:34:16
5
Geofrey Lazaro Okech :
asant nimeupata kitu kwako
2026-06-25 07:44:24
7
Pascali Andrea :
mimi nakuelewa mtumishi
2026-06-24 18:54:40
8
mr. 2 :
Tranquility
2026-06-26 17:44:35
0
lusajo 89000 :
namkubal san heche
2026-06-26 02:51:27
5
Yeshua :
kabissaaaa
2026-06-25 16:29:50
4
lup 🏹 misahle mitatu :
kwel baba
2026-06-25 09:46:34
6
mafinga finest💥💥 :
sawaaaaaà
2026-06-26 19:53:44
1
Gifty boy :
Haki kwa kila mtanzani
2026-06-25 06:12:25
8
Mr mapunda :
uko sahii kabisa mtumish
2026-06-26 16:40:14
2
1oo :
MUNGU akusaidie mtumishi
2026-06-26 10:26:44
2
mr son :
absolutely 💪
2026-06-25 17:20:41
3
modester tz :
mbarikiwa barikiwa sana
2026-06-25 11:05:02
5
Davide Joseph :
Amina mtumishi wa mungu
2026-06-25 07:23:37
4
Jamson D :
nakubali kabisa
2026-06-26 18:59:06
1
To see more videos from user @shukranimpomwa, please go to the Tikwm
homepage.