@nestory77: Kila rider ana safari yake. Kila safari ina story yake. 🏍️ Kwenye episode hii ya THE CLUTCH, nimekaa na Cha K (Bamkwe) tukazungumza kuhusu maisha ya rider, safari za barabarani, changamoto na mambo ambayo watu wengi hawaoni nyuma ya helmet. Hii ni sehemu fupi tu ya mazungumzo. 🔥 🎥 Full episode inapatikana kwenye YouTube @Nestory77. Bonyeza Subscribe na ujiunge nasi kwa mazungumzo mengine ya kusisimua na riders kutoka Tanzania. THE CLUTCH – Bike Life Stories. Real Riders. Real Stories. Real Roads. #TheClutch #BikeLifeStories #ChaKBamkwe #Nestory77 #BikeLife