@vahidnkulikwa: daah 😂😂😂😂,wanangu Bado Nakaa imetoka in all digital streaming platforms #tanzaniatiktok🇹🇿 #umemetanzania #kenyantiktok🇰🇪 #Vahidnkulikwa #fyp

vahidnkulikwa
vahidnkulikwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 12:09:46 GMT
71260
5610
467
571

Music

Download

Comments

chiefenzo6
Chief Enzo :
tuliokuwa tunategemea WiFi mpooo
2026-06-28 20:50:52
280
shpheey26
@sheey❤️ :
TanzaNIGHT
2026-06-29 10:08:30
64
cupcake_22official
Cupcake ✨✨ :
Nayo nchi ilikuwa giza🤣🤣
2026-06-29 02:07:43
252
abdallahallysaid12
Abdallah :
Tanzagiza
2026-06-29 03:42:33
162
erick.ford70
Erick Ford :
Hapo zanzibar umeme wamepata wapi?
2026-06-29 04:47:43
54
officialmozah3
🦋Mozãh🦋 :
😂😂😂 ila nyie me niliwasha tochi hamjaiona
2026-06-29 09:34:53
72
matabacam
Aysher_hatun🧕 :
nchi ilikuwa kama uso wa ex wangu☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-29 17:52:38
28
bright.singano
bright singano :
ilikuwa "mwanzo 1: 2"
2026-06-29 11:06:04
29
its_stephan1
its_Stephano :
tulio kimbilia comment gonga like 👍
2026-06-29 07:28:24
10
user1984977661206
@rya😹😻🤙🤘 :
Nayo nchi ilikuwa katika hali ya ukiwa
2026-06-29 17:17:56
15
shilanspl4
shila nslp 🤑🤑🤑 :
ukute mungu anaanzaa kuumba upya duniaa 😅😅😅
2026-06-29 08:48:32
24
aminakibao
Amina Kibao :
kama umecheka gonga like
2026-06-29 18:38:55
12
user62672395902807
Doreen :
Tanzagiza
2026-06-29 11:35:51
10
maxx007mathews
🌵🪺M.A.X.X🪺🌵 :
TANZAGIZA 😅😅
2026-06-29 12:30:25
12
deesound1
𝐌𝐈𝐀𝐍𝐎 :
Nayo nchi ilikuwa giza tena utupu😄😄
2026-06-29 09:22:54
13
toto.mafipa
toto mafipa🏝 :
kama umecheka gonga like hapa
2026-06-29 02:39:26
43
lil_miss_me_13
🦋𝕲𝖆𝖓𝖌𝖘𝖙𝖆𝖗🦋 :
Aibu mutaona nyie Wana tiktok😂🙌
2026-06-28 18:13:03
10
user7293944853332
cute❤️😘 :
ila umeme jana ulitutesa
2026-06-28 19:10:46
15
bropapy03
Pappy :
Dah kwan tanesco imeanzishwa na nan
2026-06-28 18:45:29
9
user237995376714
CAPTAIN SKILLS :
TANESKO mnapenda kujiamulia mambo
2026-06-29 06:56:14
6
bahatlububi
luckness :
Ukisikia usiku wakiza ndio huo sasa
2026-06-29 11:02:15
5
agnesydeusdeus
Agn3s 🌺 :
me nashindwa kuelewa kbc 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-06-29 08:11:56
7
mchakra_
Rudra Robert :
🥰🥰🥰 Jana cmu yangu ilikuwa na charge ila walipo nikera ni wifi tu😂
2026-06-29 14:21:02
7
merry.ndamka
mah♥️❤️ :
Na cm ilikuwa hain ata chaji maskini ya mungu mim😳😁😏
2026-06-29 00:38:37
9
To see more videos from user @vahidnkulikwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About