@madamebosscosmetics85: #madamebosscosmetics

madameboss85
madameboss85
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 14:50:22 GMT
19249
616
89
118

Music

Download

Comments

naomimgonja4
Naomi🫧 :
Eeh nashindwa ata niseme nn ila ningekua mm ningemwambia amwambie mama ake ukweli kwani utampa amani ya moyo yatakayo fwata basi tena ila yy atakuwa na amani ya moyo ambayo ni muhimu sana na pia mtoto akikua akafanana na baba vp apo bora aseme sasa hv 🥹🥺
2026-06-28 15:43:25
10
gs8631
Gs🦋 :
Mmmmmh mzigo mzito sanah huu💔🥹
2026-06-28 14:59:21
8
user3423313201460
grace :
Mmmmmmh...
2026-06-28 16:26:08
0
hasinah700
Hasinah dutch🧕🦋 :
Asisemee ilaa atubie kwa mungu wake afanye tobaa
2026-06-28 16:13:17
5
mr.nova67
Aiem..Anna🥰🌍📌 :
Asisemeee
2026-06-28 15:40:23
4
happie.nichol
Happie Nichol🌹🥰 :
mh
2026-06-28 15:33:55
0
fatumadaffi
oficial fetty :
nilitaka niandike chochote, ila nimeishiwa nguvu, , Mungu nilindie kizazi changu,
2026-06-28 15:37:43
6
hawaa3346
Hawaa💕 :
Duuuu so pain😳😳😳
2026-06-28 14:56:53
1
its.dollie1
its.luvia doll🧸 :
Kakweli aseme to ukweli jmn japo unauma nani ata atadhalilika😳 mbele y familia 😓🙏
2026-06-28 15:18:27
1
msvodee
vodee19 :
Mmh cha kusema sina Mungu atusaidie tu
2026-06-28 15:30:52
1
martha_happy76
Martha H😋 :
bora aseme
2026-06-28 15:47:58
0
officiallyne30
Lynie🍇 :
Asimwambie chchte maana hawatoelewana akatubu🥺🥺
2026-06-28 20:54:34
1
msfarhan8
msfarhan :
mmmh
2026-06-28 20:53:33
0
tee_2423
Tee_Wear_Hub😇 :
Uuuwi bora aseme tu mungu wangu jmn jmn hizi laana
2026-06-28 15:37:07
0
baby.mamoon
bxill🫀🍓 :
mtihan sana wallahi
2026-06-28 15:03:01
0
pelis5716
Pelis shivyoi :
Kwahy mama ako anapo kojoa na wew unakojoa hapo hapo duuu hapo ni kama umeona uchi wa baba ako mungu akutie nguvu aisee na pole sana😭
2026-06-28 16:00:40
0
fetty.mjema5
fetty mjema :
mungu wang😭
2026-06-28 17:03:35
0
fety2289
FETTY baby :
Ila wanaume jamani wanaume nyie kuna mda naona Dunia ni finyo mno na wazaz tujitahid sana kua karibu na watoto wetu
2026-06-28 16:20:48
2
madambussinessstore
MALAIKA🌷🍂🦋 :
duh nalia mm iyo kuzaa na baba ake uuuuuwi 😭😭😭😭😭😭😭🙌
2026-06-28 20:40:55
0
free.l.ee21
Kaia🤎🧡_ de favbest.. :
kuna mmbo yanaumiza sana kuzaa sio jambo baya na mtoto ni baraka ni bora aseme ukweli bdo mapema ukweli humuweka mtu huru amani ya moyo ni kitu bora
2026-06-28 17:13:48
0
rydernasscollection
rydernasscollection :
aachane na baba jmn 🥺
2026-06-28 17:08:08
0
jdericous
🦋mom D🦋 :
akae kimya asiseme itmuumiza sana mama yake namatokeo yatakuja mabaya bola aombe sna mungu na amkwep uyo baba basi
2026-06-28 17:32:35
1
To see more videos from user @madamebosscosmetics85, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About