Tunaesema.. sheikh said yupo sahihi kabisa tuweke kopa hapa ❤️❤️
2026-06-29 11:47:58
375
.Cute from Tanga..💍..🔥. :
Sitaki kuongea mengi lkin shekhe alichokiongea ni sahihi....Madaktar asilimia kubwa wanazidisha matatiz hasa hii Tanzania yetu...mungu tu Atufanyie wepes🙏
2026-06-28 23:38:34
382
Nelly❤️🎻🗝️🔐 :
this is true
2026-06-29 11:54:13
2
Arafat Makelele :
ma doctor wengi wana roho mbaya sana
2026-06-29 05:21:13
170
Sebastian Wilson :
Shekhe ameongea point sana.. bro unatetea madaktari honestly speaking dunia saivi imebadilika sana pesa imekua mbele sana.. Inawezekana dr akawa yupo vizuri lakini management ya hospital inataka mapato haswa hizi za private so bro usiwatetee ma dr kwasabu iyo ni career yako bro saivi mnazingua
2026-06-29 05:27:05
155
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
naungana na shekh mimi anaongea kwa Imani Madoctor wana endekeza pesa mbele
2026-06-28 16:59:01
198
Kaliua Plus Tz :
Saizi kumuona Daktari ni Elfu 5 hiyo ni kumuona 🙌🙌🙌🙌
2026-06-29 03:39:08
62
lone jr :
jaman jamam tusome
2026-06-28 18:27:52
66
busta :
SHEKHE AMEONGEA POINT 🫡
2026-06-29 13:46:35
17
linah :
alichosema shehe ni kweli
2026-06-29 07:19:55
31
Unique :
Ila waislam😁🙌🏽🙌🏽
2026-06-28 19:10:20
25
Nurdin zzcf T :
Shekh yupo sahihi nimejifunza san
2026-06-29 09:47:01
28
idrisa nikiyi :
SHEH YUPO SAHIHI
2026-06-29 03:01:43
44
SHAMNATUROPATHY :
shekh bafana yupo sawa
2026-06-29 07:38:59
25
msumi :
❤allah akupe umri mrefu shekh wangu
2026-06-29 19:13:59
7
El Ahmad :
fact 🥹🥹🥹
2026-06-29 08:14:10
1
Shafy Tz :
No Comment
2026-06-29 19:01:04
0
mercy🌸 :
this issue n 50/50 dr noel
2026-06-28 22:13:16
2
name :
JAMAN JAMAN TUSOME
2026-06-29 06:30:50
11
silverfox :
Jamani tusomeni jamani😆😆😆
2026-06-28 16:57:21
21
Janchi Millenial :
Hili jambo, liko 50/50, kuna baadhi ya matabibu wanaweka pesa mbele kuliko professionalism, but pia kuna baadhi ya madaktari wana utu. tuombe Mungu tukutane na utu.
2026-06-28 16:30:24
88
Sampart sam :
shekhe said bafana bafana yupo sawa
2026-06-29 14:22:20
7
Mimah soudy😚👌 :
shekheee wangu pendwaa allah azidi kukulindaa uzidii kutupa elimuu😓🙏😊
2026-06-29 05:32:28
22
pearl_bobo🦋🖤 :
Jamani tusome jamani😅😅😅
2026-06-28 20:39:05
30
mariamu chimuti :
acha kuwatetea kaka madaktar wengi saana Wana roho mbaya saana tena saana utu hakuna kabisaa
2026-06-29 14:38:30
5
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.