@tanzania_african_history: Julai 1979. Picha za video za Rais Julius Nyerere akimkaribisha Malkia Elizabeth II wa Uingereza nchini Tanzania kwa ajili ya ziara ya kifalme jijini Dar es Salaam. Pamoja na Malkia alikuwa mumewe, Mwanafalme Philip, na mtoto wao wa kiume wa pili, Mwanafalme Andrew. #AfricanHistory #OurRoots #AfricaTok #History #tanzaniahistory
Sasa kama hii video yake ipo mbona ya Michael alivyokuja1992 haipo
2026-07-12 16:15:29
5
jumannesaidy :
Nakumbuka nilikuwa Darasa la 3
2026-07-04 07:59:53
4
Mathayo j.m :
msafara wa raisi ni tax 😁
2026-07-22 16:51:26
1
Mbilitanotano :
Asante kwa historia.
2026-07-05 09:40:20
2
witty 🌹 :
baba angu alikuwa na miaka 17 mimi sasaiv Nina miaka 21
2026-08-04 12:50:23
3
jef Mgimwa :
wengi wao walio ktk picha hii wamelala , Iposiku walio hai wata mpokea mwana Mfalme alikuja na akarudi kwao , furaha kuu nipale atakapo tukumbusha uwezo nguvu na mamlaka tuliyonayo, ni zaidi ya hiii .
2026-08-02 09:15:33
2
Sir Boi boi7 :
Nimeona madela
2026-07-18 03:36:25
3
who is agustino🤔 :
taratibu za wanafunzi kujipanga msitar balabalan ilikua xo poah kbx
2026-07-31 20:09:35
2
kibasa :
hapo mamangu slikuwa na miaka 13
2026-08-27 09:27:09
1
elisha joseph :
Mbona gar zilikua chache?
2026-08-02 19:23:29
1
Happiness Erasto :
jmm had raha kumbukumbu nzuri sana
2026-07-30 07:40:14
1
The Lastborn :
nimejiona apo😂
2026-07-31 19:38:34
1
neyjonas :
nilichogundua kulikuwa hakuna lasta wala wigi ni mabutu tu
2026-08-19 12:17:58
3
user24024190945116 :
Duuu!!!🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-30 03:48:59
1
ICEBERG DE GUERRA :
Mzee mpili naye alikuwepo😂😂
2026-08-06 05:36:31
1
Para Duza :
mzee wangu alikuwa dogo wa miaka mitano hapo😅😅😂
2026-08-27 10:12:54
1
Elia Mahiga :
dah!! kwny hao wanafunzi namm nilkuwepo, TBT.
2026-08-27 09:58:00
1
kibasa :
hao wanafunzi ndiyo wazee sasa hivi. na hao wazee wote walishatangulia mbele ya haki. Mungu awalaze mhala pema peponi
2026-08-27 09:25:05
3
Njowelo :
nchi ilikuwa na uzalendo mkubwa
2026-07-29 08:43:36
1
@Baraka mungu kwanza🇹🇿🇹🇿🙏 :
nilikua na myaka 27 kipindi hicho
2026-08-30 07:34:43
1
Really good good thanks 😊 :
mmh
2026-07-02 17:33:29
2
user3014842434382 fedy matimbw :
duh kipind hicho hiyo siku ilikuwa ya kihistoria san
2026-07-03 15:17:16
2
timothy :
kama ya nwaka huu
2026-06-30 04:24:22
1
To see more videos from user @tanzania_african_history, please go to the Tikwm
homepage.