@hypertropheve: Replying to @mountainguy55 I HAVENT DONE IT BC I WILL LOSE 💔💔💔💔💔💔💔 🥀🥀🥀 #gym #armwrestling #fyp

Eve
Eve
Open In TikTok:
Region: US
Monday 29 June 2026 17:41:40 GMT
1957
70
8
1

Music

Download

Comments

mountainguy552
mountainguy55 :
Your arm wrestling fanbase will not quit until we see some new content! We think you can easily still beat good competition with those biceps
2026-06-29 17:49:46
5
hube...ghll
Hubeee :
you have that bicep without training? damn you have to do the armwrestling series!
2026-06-29 17:47:15
3
tomryan1850
Tomyka Ryan :
We gotta see you challenge another gym girl!! It would be such fun content win or lose 😎
2026-06-30 17:19:29
2
ctg192003
CTG192003 :
They still look so strong and amazing!! Love em!! ❤️😍💪🏼
2026-07-01 05:09:15
1
To see more videos from user @hypertropheve, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*NOVENA KWA MT. ANTONY WA PADUA.*🛐🙏 *🌸Siku ya Kwanza (1)*🌸 *KWA JINA LA BABA, NA KWA MWANA, NA KWA ROHO MTAKATIFU.  AMEN.* Eeh Mtakatifu ANTHONY, mnyenyekevu mpole ktk   Watakatifu, upendo wako kwa Mungu na Upendo kwa viumbe vyake, alikufanya unastahili, wakati uko duniani, kuwa na nguvu za miujiza.  Nimetiwa moyo na wazo hili, ninakuomba uweze unipatie hitaji ninaomba ktk Novena hii…  *(Taja hitaji/ Mahitaji yako)* Jibu la ombi langu huenda likahitaji muujiza, hata hivyo wewe ni Mtakatifu wa miujiza. Eeh mpole na mnyenyekevu Mt Anthony, ambaye moyo wake uliwahi kujawa na huzuni ya wanadamu, ninakuomba umnong'oneze mtoto Yesu ombi langu ndani ya masikio, ambaye alipenda kukunjwa mikononi mwako;  na shukrani ya moyo wangu milele itakuwa yako.   Amina. *BABA YETU.* Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina. *SALAMU MARIA.* Salam Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. *ATUKUZWE.* Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele  Amina Mt Antony wa  Padua UTUOMBEE. *LITANIA YA MT ANTONY WA PADUA.🛐🙏* (Sali binafsi tuu) Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Kristo utuhurumie  Bwana utuhurumie  Bwana utuhurumie  Bwana utuhurumie  Kristo utusikie Kristo utusikilize ✝️Baba wa mbinguni Mungu........ Utuhurumie ✝️Roho Mtakatifu Mungu....... utuombee ✝️Utatu Mtakatifu Mungu mmoja 🙏🏼UTUHURUMIE    ✝️Maria Mtakatifu 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony wa Padua ..... 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony  utukufu wa ndugu wadogo.... 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony nguzo  ya hisia wa Mt Fransisco  🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony hekalu la hekima ya mbinguni 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mharibu wa ubatili wa dunia  🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony aliyeshinda ktk utakatifu 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfano wa unyenyekevu  🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mpenda msalaba 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfiadini wa tamaa 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony aliyejaliwa ukarimu  🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mpenda haki 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony tishio kwa wasiomwamini Kristo 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfano wa ukamilifu 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfariji wa wanaoteseka 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mrudisha vilivyopotea 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mlindaji wa wale walioonewa 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony  mfungua wafungwa  🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony muongoza wahujaji 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony  mrudisha afya 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mtenda miujiza  🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mrudisha sauti iliyopotea 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfungua viziwi 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfukuzaji wa mashetani 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mrudisha uhai 🙏🏼UTUOMBEE  Mt Antony mfukuza hofu 🙏🏼UTUOMBEE  Kutoka ktk mitego ya shetani *Utuopoe Ee Mt Antony* Kutoka ktk radi na mafuriko *Utuopoe Ee Mt Antony* Kutoka ktk maovu ya roho na mwili *Utuopoe Eh Mt Antony* Kwa njia ya maombi yako *Utuopoe Ee Mt Antony* Ktk maisha yetu yote *Mt Antony utulinde* Mwanakondoo wa Mungu unaeondoa dhambi za dunia *Utusamehe Ee Bwana* Mwana kondoo wa Mungu, uondoae dhambi za dunia  *Utuhurumie Ee Bwana* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia  *Utusikilize Bwana* Mt Antony utuombee tupate kuzaliwa ahadi za Kristo. *Tuombee* Ee Mungu, ninakuomba kwa njia ya Mt Antony wa Padua, muunganishi na Mlinzi, ulipe kanisa furaha, ili liweze daima kuimaishwa kwa njia ya maisha yake ili liweze kupata tuzo la milele. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Sala ya kuomba ulinzi wa mama bikira Maria: Mama wa Mungu/bikira Maria unikubali ninapokujia/Mimi ni wako/nikiwa  mzima Mimi ni wako nikizimia. Mimi ni wako katika mateso Mimi ni wako katika misiba. Mimi ni wako uwapo msalaba. Mimi ni wako kwa sasa na daima. Mama wa mungu Bikira Maria unikubali ninapokujia. Mama ninakutumainia/ nakutegemea. Mama nakung'ang'ania/nakulalamikia. Mama mwenye huruma/unisimamie. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸

About