@arnis_ozolins: 😔

Arnis Ozoliņš
Arnis Ozoliņš
Open In TikTok:
Region: LV
Tuesday 30 June 2026 13:23:42 GMT
186286
4905
127
2155

Music

Download

Comments

tiktokhacker0832
gamer🇱🇻🇬🇧 :
1.9 TDI
2026-06-30 17:03:39
169
zirnis55
Dirsmanis :
žēl ka ne saeimas ēka
2026-07-01 10:23:04
3
magdalenapisec
Moce :
Zaļā enerģija.Progresivo sapnis.😁
2026-07-01 04:35:36
17
capslock.lv
✮ 𝗖𝗔𝗣𝗦𝗟𝗢𝗖𝗞 ✮ :
Kas tur bija ? 😳😳😳
2026-06-30 14:16:18
7
rihard744
putinhujlolalala :
kārtējā maksima
2026-06-30 16:14:55
5
emils.legzdins
️ :
es tikko tur biju
2026-06-30 16:30:10
2
k.kitija.a
✨kaktus🌵 :
2026-06-30 17:26:41
16
vilis_4
🍋VILIS🍋 :
Nu ļoti źēl
2026-06-30 13:25:50
20
e.e.g37
edgarx :
Es 1km no Turín es dzivoju
2026-06-30 18:53:35
3
girl_on_board
Girl_on_board🦓.. :
Pag Rīgā Plaza dega??
2026-06-30 16:15:15
1
andisandis061264
Andis :
Kondicioniers???
2026-06-30 18:40:00
1
logiremoval
CCCP💪 :
Как красива 🤗
2026-07-01 06:39:39
1
elzaknigsvalde
Sam & Colby my goats🤍🖤 :
Kas notika
2026-06-30 18:51:56
3
kellydacheethall200
Alise Kleopatra Sokorova :
Kad
2026-06-30 16:55:06
0
dkny2026
dkny2026 :
Не курите где попало
2026-06-30 18:26:19
4
redon501
redon :
poh
2026-06-30 18:31:40
4
user6614024182534
user6614024182534 :
ceha uzsprāga kompresors
2026-06-30 18:36:38
7
kolka933
Koлька :
лиго продолжение
2026-07-01 04:09:26
5
a_d_r_i_a_n_s_
a_d_r_i_a_n_s_ 🥊 :
2026-06-30 17:06:07
8
motomoto1987
Juris Golubevs389 :
popkorns
2026-06-30 17:31:03
7
marats.guntars
Marats Guntars :
es netālu esu
2026-06-30 13:53:14
1
artofvideo_
artofvideo_ :
Saeimā? 🥺
2026-06-30 20:11:47
2
annija1236
anni :
Man tuvu
2026-06-30 14:33:39
3
sintijainta
🩷 :
Es zinu🥹
2026-06-30 13:50:18
1
To see more videos from user @arnis_ozolins, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju amekemea vikali  vitendo vya baadhi ya Viongozi wa Serikali na wa Kisiasa kuingilia  utendaji wa shughuli za Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mahakama kwa  kisingizio kwamba wao ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama za  Mikoa na Wilaya. Mhe. Masaju ameyasema hayo  tarehe 30 Juni, 2026  alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali na Wasambaza  Nyaraka wa Mahakama Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano  uliopo Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. “Hizo  sheria zinazowapa madaraka hazikuwapa mamlaka ya kuingilia utekelezaji  wa amri na maamuzi ya Mahakama. Wachukulieni hatua. Haiwezekani Mahakama  imeshatoa amri halafu mtu mwingine anazuia, hiyo inakuwa ni Mahakama au  ni kitu gani? Ni lazima tutofautishe shughuli za kisiasa na shughuli za  kutoa haki zinazofanywa na Mahakama,” amesema Jaji Mkuu. Akizungumzia  kuhusu Changamoto na Usimamizi wa Sheria, Jaji Mkuu amewaeleza,  Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mahakama kuwa nao wana changamoto ndio  maana wanaruhusu wanasiasa kuingilia utendaji kazi wao bila kuwachukulia  hatua. “Hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria na hata mimi Jaji  Mkuu siko juu ya sheria. Na kwanza hata mimi kwa kiapo changu na Majaji  wote hapa na Mahakimu wote, na hata Wasajili tunaapa tunapotekeleza  majukumu yetu kuzingatia Katiba, mila na desturi, na sheria za Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania, bila hofu, upendeleo, wala chuki,” amesema Mhe.  Masaju.  Aidha, Jaji Mkuu amewataka Madalali na Wanasheria wao  kuchukua hatua kali za kisheria, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kinyume  cha sheria (false imprisonment) au uzuiaji wa utekelezaji wa amri  halali, Maofisa wa Polisi au Viongozi wanaokiuka Sheria kwa majina yao  binafsi, kwani Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameshafafanua kuwa wavunja  Sheria watagharamia makosa yao wenyewe.

About