@dhanlyrcss_x: Where we are>>> #fyp #lyrics #dhanmusic #lyrics_songs #viral

♫︎ 𝑫𝒂𝒏𝒊𝒆𝒍
♫︎ 𝑫𝒂𝒏𝒊𝒆𝒍
Open In TikTok:
Region: PH
Friday 03 July 2026 09:04:06 GMT
2251
85
1
4

Music

Download

Comments

mexlis_inc
𝐕𝟏𝟎 (𝟑𝟎𝟑) 𝐌𝐄𝐗𝐋𝐈𝐒 :
🥰🥰🥰
2026-08-15 17:30:30
0
To see more videos from user @dhanlyrcss_x, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

USIISHI KWENYE MAFUNUO YA WENGINE 📌 📌  👇👇 Ufunuo wa Yohana 1:1 [1]Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana.... || [4]Yohana:
USIISHI KWENYE MAFUNUO YA WENGINE 📌 📌 👇👇 Ufunuo wa Yohana 1:1 [1]Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana.... || [4]Yohana: "kwa yale makanisa saba yaliyoko Asia" Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwake yeye aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja; na zitokazo kwa roho saba walioko mbele ya kiti chake cha enzi.... Moja ya hatari kubwa katika maisha ya kiroho ni kufundishwa kitu bila kufundishwa namna ya kukichunguza, kukitafsiri na kuelewa muktadha wake. Kitabu cha Ufunuo kiliandikwa kwa muktadha maalumu, kikielekezwa kwa makanisa saba yaliyokuwa katika eneo la Asia Ndogo, ambalo kwa sehemu kubwa ni Uturuki ya sasa. - Efeso - Smirna - Pergamo - Thiatira - Sardi - Filadelfia - Laodikia Lakini leo unaweza kukuta mtu anafundishwa kwamba kila kitu kilichoandikwa katika kitabu hicho lazima akitafsiri moja kwa moja katika maisha yake, bila hata kujiuliza kilikuwa kinazungumzia nani, lini na kwa sababu gani. Ndiyo maana unaweza kukuta mtu anakuwa mateka wa hofu kwa sababu ya namba (666) mpaka namba hiyo inapojitokeza katika mazingira ya kawaida ya maisha, anaiona kama ishara ya nguvu za giza! Tatizo si kusoma Biblia, tatizo ni kusoma bila kuelewa muktadha. Unaposoma maandiko, jifunze kujiuliza maswali haya 📍📖 1. Nani aliandika ujumbe huu? 2. Aliuandika katika kipindi gani? 3. Aliwaandikia watu gani? 4. Kwa sababu gani aliandika ujumbe huu? 5. Ujumbe huu una maana gani katika mazingira yake ya awali, na una fundisho gani kwangu leo? Paulo aliwaombea waamini wapewe roho ya hekima na ufunuo ili wasiishi Katika Mafunuo ya Wengine! USIWE MATEKA WA MAFUNDISHO. KUWA MTU WA UFahamu! KINGDOM PLATE "Ufalme Uko Hapa" 💫 Unataka Ushauri au Mentorship au Darasa Maalumu la Mambo ya Kiroho, Unaweza Ukawasiliana nami Kupitia Whatsapp No +255 719 260 104 📱 Mr Mangapi......✍️ #trendingvideo #goviral #africantiktok #flypシ #videoviral

About