busara hapa si mahali sahihi.
Vita kama hizi za kiroho zinatakiwa kutumia busara kubwa sana.
T.A.G ni taasisi mtu mmoja akiaribu haitoshi kulisema kanisa lote.
isitoshe ndoa ina mambo mengi sana,sio mambo ya kushindania mtandaoni.Maisha mema.
2026-07-03 21:12:14
184
babyzii :
Tena walokole ni matapeli wa mapenzi kinoma🥺🥺
2026-07-03 20:10:48
133
Madam 🌸accessories 🌼 :
Sina hamu na TAG Wachungaji weng wanafiki sana sana
2026-07-03 20:36:47
145
CHIEF RUMANYIKA :
ndio maan tunaambiwa ukitaka kuishi kwa amani acha kuwa karibu na viongozi wa kiroho na kidini make utashuhudia maovu yao na kukufanya upunguze imani yako kwa dini yako
2026-07-03 21:30:37
132
last bone :
wewe mwenyewe unaonekana ujaokoka
2026-07-03 20:36:18
60
pastar kasekwa :
tutauona mwisho wako
2026-07-03 20:30:06
18
m@ster pl@n :
TAG wengi ni wanafiki sanaa
2026-07-03 20:28:28
33
digna mlelwa :
t.a.g. wanaubinafsi sana tena h
2026-07-04 07:13:08
23
pasta_Bonge :
sina hamu na TAG kabisa hao
2026-07-03 19:59:09
44
esterdavid567 :
ila kuna wachungaji wanakela sana kaka
2026-07-04 04:51:13
29
Attuu-@ :
Mamaeee😅😅😅 wape baba wape
2026-07-03 20:28:03
16
JB. :
makanisa ya kilokole yana siasa nyingi sana
2026-07-05 10:37:39
12
officialipyana :
Hana kiburi bwana embu tuache kujifanya watakatifu sana kaka nipo na wew🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤣
2026-07-06 10:22:24
8
Daud M. Lugenji :
ulimpelekea kwani alikuwa anaoa yeye?
2026-07-03 23:06:13
8
LIZY CLOCHET🥰🥰 :
we mwenyewe hujaikoka kabisa ungekua umeokoka ungetumia busara
2026-07-04 14:39:38
7
nelsonhewa :
pole sanaaaaa pole sanaaa Mungu akusaidie zaidi. usije toka miguuni pa Yesu.
2026-07-04 10:10:08
9
Babyface :
wanafiki sana baadhi yao rafiki yangu walimvunjia uchumba
2026-07-05 17:51:37
5
KILIMO NI BIASHARA :
TAG sometime wanazingua sanaaaa nawajua vizurii
2026-07-04 04:26:50
6
user6910531801274 :
mungu akusaidie kaka yangu nakuelewa ila endelea kusimama na mungu wanadamu wao wanapitaaa
2026-07-03 22:41:10
10
user4854675666294jackline@ :
asa ukisema mtandaoni itasaidia nn unamfaidisha nan??
2026-07-03 22:24:06
20
Timothy Mapessa :
Mungu akupiganie umebeba ushuhuda mkubwa sana kaka..
2026-07-03 18:00:35
29
barakalukumay608 :
Waaaaambiiiie waambie waaaaambieeee
2026-07-03 20:14:32
15
MERCY MITUMBA CLASSIC🇹🇿 :
Kiburi cha uzima ni kibaya sana
2026-07-03 22:15:09
10
Sarah ngulimi :
tena hawana akili kabisa TAG mie nipo na ww maana hata Mimi nimekulia huko TAG
2026-07-03 19:33:03
64
To see more videos from user @edgaroscar49, please go to the Tikwm
homepage.