hiyo hata darasa la saba anaijua kaka try another things guy
2026-07-11 05:46:57
0
Dsffurniture2 🇹🇿 :
Tunakusubiria garage mkuu wangu 2029 😁
2026-07-04 21:33:09
188
fighter_mc :
huyu ni mzuri sana akiwa winga
2026-07-04 20:31:47
59
Archard :
believe on me or believe in me ipi ni sahihi
2026-07-05 05:24:10
27
Franklin's :
kwa biology bado mchumba sana
2026-07-04 16:49:45
82
Arez B :
Biology ya class four
2026-07-04 17:38:51
23
Prince🤴 :
Kama huyu sio Muhaya ni bahati sana
2026-07-05 09:32:27
25
josephmakota :
not true it is for gaseous exchange respiration is energy utilization
2026-07-04 18:34:24
13
#LUCK~BOY :
hamna kitu hapa shida ni mhaya
2026-07-06 06:03:21
6
spartah ✅ :
Nipo focused kwenye C/C++ kwa ajili ya systems-level programming na performance-critical applications. Nimejenga custom memory allocator (basic level) ili kuelewa allocation strategies na memory efficiency kwa undani.
Kwa sasa nafanya kazi kwenye HTTP server (from scratch) ili kuimarisha understanding ya networking, concurrency, na low-level system control.
Pia nina exposure ya frontend na backend, lakini nguvu yangu kubwa ipo kwenye systems thinking, performance optimization, na resource control. Niko open kushirikiana kwenye projects zinazohitaji efficiency na low-level problem solving
2026-07-04 13:42:15
7
el-kamal👳 :
believe in me sio on me
2026-07-04 21:01:33
6
remyyy 0796 :
kijana mtaa hauhitaji hizo fact
2026-07-05 15:14:21
6
Hebrew T7 :
Subir ukianza Kusoma vitu kama QUANTUM MECHANICS,THEORY OF RELATIVITY
ndio mtupigie Kelele.
2026-07-05 11:58:45
11
ben💊🇹🇿 :
kwenye maji kuna ninii?
2026-07-05 09:26:30
5
Carlos mkomawagi :
sasa mbona hizo ni concept ndogo ndogo sana mkal
2026-07-04 19:25:51
7
mrjo.h9 :
HUMAN
Even though water (H_2O) contains oxygen atoms, and body-of-water environments contain dissolved oxygen gas (O_2), human lungs cannot extract it. whille .
FISH
.Fish don't have lungs; they have gills.Gills are incredibly efficient at pulling that tiny <1% of dissolved oxygen out of the water, but they fail completely in the air for a couple of reasons.
2026-07-05 05:17:32
5
camavings :
tuseme ukweli wahaya wanasifa sana kwenye elimu
2026-07-04 19:40:11
13
derickonesmo :
😁😁😁ninoma Sana nshomire
2026-07-06 10:50:31
2
Diana :
Kaka uyo bado snaa Hana concept kabisa
2026-07-04 17:39:01
6
Dan! :
Kama umetumiwa meseji ya Tunza amani gonga like hapa
2026-07-11 06:41:30
3
PANORAMA_MK23 :
Nampa miezi miwili
2026-07-06 15:04:46
0
Emmanuel Elias :
dogo bado sana biology na chemistry,inabidi akazane sana kuchimbua vitabu.
2026-07-08 19:52:16
1
selemanmayombya :
Winga mmoja ajaye😁😂
2026-07-04 20:34:56
3
the shirani black man :
mdogovwetu tuna msubiri kitaa tuu
2026-07-04 18:03:26
2
zee home essentials :
hivi ni believe on me au believe in me? au ndo nidownload ticha zungu app
2026-07-06 11:09:28
3
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.