@mdava069:

Son Of The Soil #74
Son Of The Soil #74
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 05 July 2026 18:26:14 GMT
9717
281
7
23

Music

Download

Comments

stallion2163
I will still be standing :
date
2026-07-05 22:22:01
1
siyabongamanase
suge :
these two come a long way
2026-07-05 22:02:33
17
pule_rapule
Pule :
Where is Victoria Phiyega vele
2026-07-05 22:29:00
3
nzimase__
10880 Malibu Point, 90265 :
The Chaskalson Commission will hit like crack in 2035
2026-07-05 22:43:31
19
streamspn.live
StreamSPN Live :
it's crazy becuase here Ramaphosa was in Mcunu's position
2026-07-06 11:28:18
2
To see more videos from user @mdava069, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ni mara baada ya machafuko baina ya mataifa mawili MAREKANI dhidi ya IRAN   Ilikuwa jioni hapo NEVADA MAREKANI ambapo Binti CELINE akiwa anatoka shule hapo nchini Marekan. Nakumbuka siku hiyo CELINE alipofika nyumbani alimkuta baba yake ambae ndie aliyekuwa anaishi nae   Lakini siku hiyo MR. DEAN alikuwa kwenye hali ya unyonge sana ambapo binti yake alilitambua lile., alijitahidi kumuuliza baba yake ambae alikuwa MWANAJESHI lakini baba hakusema kitu   Siku iliyofata ambayo ilikuwa siku ya Jumamosi MR. DEAN ilibidi ampeleke bint yake kwa jirani yake flani ambae alikuwa ni Bibi BUFFON   Alimuacha binti yake akisema atarudi baada ya siku 15 MR. DEAN aliondoka jeshini. Usiku wa siku hiyo CELINE hakuwa na furaha hata kidogo kuhus Baba yake   Hivyo basi aliamka akaenda kubeba begi lake dogo na kutia biskuti za kutosha na kuandaa nguo zake baadhi kisha akasubiri asubuhi ifike   Asubuhi ya siku hiyo BIBI. BUFFON alichelewa kuamka  hiyo ikasababisha CELINE atoke akiwa amevalia koti lake na kuingia kwenye barabara kuu   Safari yake ilikuw kwenda EDWARD AIR FORCE BASE CALIFORNIA hiyo ilikuwa Kambi ya jeshi ambayo alifanyia kazi Baba yake   Safari yake ilimpeleka kwenye barabara no. 13 NEVADA hapo alisimamisha gari moja ya Mzee mmoja. Mzee yule alishangaa kumuona mtoto maeneo yake Ikabidi ampe lifti huku akimuuliza maswali   CELINE akasema Anaenda kuonana na baba yake kwenye kambi ya EDWARD AIR FORCE BASE   MZEE yule alishangaa akamwambia kuwa yeye haendi CALIFORNIA. Wakiwa kwenye mwendo pembezoni mwa barabara Mzee yule aliona gari la Jeshi la EDWARD AIR FORCE BASE   Hapo Ikabidi asimamishe gari ili akuzungumze na wanajeshi wale kuhus. yule mtoto. Mzee aliposhuka akamuachia uwazi nyuma CELINE   Mzee yule alipokuwa anazungumza na wale wanajeshi ambao walikuwa wanavuta sigara mbele ya gari lile kubwa aina ya IVECO basi CELINE alishuka kwenye gari ndogo ya Mzee yule   Alienda mpaka nyuma ya gari ile kubwa ambayo ilikuwa na ngazi. Japo alikuwa mdogo lakini alifanikiwa kuingia nyuma ya gari lile ambalo lilikuwa na maboksi makubwa makubwa ya mbao   Wanajeshi wale walitaka kumuona huyo bint ilibidi waongozane Na Mzee yule hadi kwenye gari yake   Lakini cha kushangaza hawakumuona tena yule mtoto   Ilibidi waachane na Mzee yule na wao wakaondoka. Bila kujua nyuma ya gari walikuwa na mtoto., Walipofika kambini getini gari yao ilikaguliwa juu juu yote sababu ilikuwa ni ya jeshi hvyo basi wakafanikiwa kupita hadi ndani    Kipindi hiko wanajeshi walikuwa wanaandaliwa kwajili ya vita dhidi ya IRAN hivyo basi wanajeshi walipewa siku 10 za kujiandaa na mpaka kufikia mda huo zilibaki siku 5 tu   Ikiwa jina la MR. DEAN lilikuwepo kati ya wanajeshi watakaoenda IRAN Itaendelea... #creatorsearchinsights #warzone #iran #America #trump

About