@c1aboo: #عباراتكم_الفخمه📿📌 #عاده_نشر_فيديو🔄

ﻋـبود // 𝗔𝗕𝗕𝗢𝗨𝗗
ﻋـبود // 𝗔𝗕𝗕𝗢𝗨𝗗
Open In TikTok:
Region: IQ
Wednesday 08 July 2026 18:11:39 GMT
11356
569
5
26

Music

Download

Comments

srtiij_
𝙉𝗿𝗴𝗶𝗦ِ🕷• :
اول
2026-07-08 18:13:21
2
z_hra187
مريـٰـتهۂ 👮🏻‍♂️♥️ :
😎ابداعك
2026-07-08 22:03:13
0
To see more videos from user @c1aboo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Last month nilipata msiba wa mama yangu mkubwa (Rest in peace) nikasafiri kuelekea Mwanga, Wakati nipo njiani alinipigia rafiki yangu wa muda mrefu jina sitamtaja japo amekubali niandike ujumbe huu hapa, Alikuwa anataka tuonane ana issue very sensitive ambayo asingeweza kuniambia kwa simu, kumuambia nimesafiri alikuwa tayari hata kutoka Dar kunifata Kilimanjaro, long story short nimerudi Dar tu kesho yake tukakutana, unadhani alichokuwa anataka ni nini? Kujifunza forex trading, cha kwanza kumuuliza ni “mbona ghafla?” Hapo ndo akaanza kunipa mkasa wa yaliyotokea kazini mpaka kufikia kufukuzwa kazi yeye na wafanyakazi wenzake 7, alikuwa anakunja around 3M kwa mshahara na pesa nyingine anazopata nje ya mfumo, hii kazi ilikuwa ni kila kitu kwenye maisha yake, Nikamueleza tu ukweli kwamba forex sio sehemu ya kukimbilia baada ya kupoteza kazi na hawezi kufanya replacement ya mshahara kwa kutumia Fx kwa haraka kama anavyodhani, japo kiroho ngumu ilitakiwa nimuulize tu “siku zote ulikuwa wapi?,” ila nikaona sio wakati sahihi, Nilimuelezea sana kwanini hii sio option sahihi kwake kwa sasa, Siku nne tu mbele kanicheki tena anasema ana bonge moja la business idea anataka niwekeze tushirikiane, akanielezea sana hiyo idea ilibidi nimuambie tena ukweli kwamba, “Hiyo idea sidhani kama ni practical ila pressure ndio zinafanya uone ni brilliant idea, na nipo tayari kukuchangia mtaji ila ikiwa ni idea iliyonyooka, Kitu nataka kusema kwa kila mtu hapa ni; Usisubiri maisha yakuweke kona mbaya ndipo uanze kufanya maamuzi muhimu; - Usisubiri uingie kwenye crisis ndipo uanze kutafuta mentors, ushauri, partnership au mtaji, - Usisubiri ubaki na pesa zako za mwisho ndipo uanze kujifunza kuwekeza, - Usisubiri uumwe ndipo uanze kula vizuri na kufanya mazoezi, - Usisubiri upoteze ajira ndipo uanze kujifunza ujuzi au kuanzisha biashara, - Usisubiri uwe na majanga ndio upigie watu simu, - ⁠Usisubiri biashara yako iingie matatizoni ndio ufungue biashara nyingine, Hakuna kitu kibaya kama kuacha kufanya maamuzi mpaka siku uwe kwenye pressure au mpaka maisha yakunyime options,

About