@kylingg_20: #vanzconcept🇹🇭 #smashrevo110🇹🇭 #fyp

BULLET🚀
BULLET🚀
Open In TikTok:
Region: PH
Thursday 09 July 2026 10:16:09 GMT
2047
59
18
1

Music

Download

Comments

tanly181
Stan_lyyy :
ilalagay ko decals sakin boss
2026-08-03 10:34:57
1
choww87
boss jay x el,vero 🇻🇳 :
boss pang wave ba yang basket mo
2026-08-05 08:16:50
1
lnz_julss
Lnz juls🎲 :
quality bossing ko pogi
2026-07-09 11:21:05
2
oliver.alejandro454
oh_lhie :
boss anong swing arm gamit m
2026-08-06 03:18:58
0
jear252
jear :
pano mo na convert nang disk brake anu gagawin boss
2026-08-10 22:57:34
0
jear252
jear :
nag change clutch kit kaba boss?
2026-08-10 22:56:58
0
To see more videos from user @kylingg_20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

tumtakie matashi mema Leo Shirika la Mitume wa Yesu (Apostles of Jesus Missionaries - AJ) wanasherehekea miaka 25 ya Upadre (Silver Jubilee) ya Padre Henry Rimisho, AJ wa shirika hilo. Padre Rimisho alizaliwa January 26, 1969 huko Jimbo Katoliki Moshi. Baada ya kuhitimu kidato cha sita alipata wito wa Upadre na kujiunga na Shirika la Mitume wa Yesu (Apostles of Jesus Missionaries - AJ). Baada ya malezi alitumwa Chuo Kikuu Urbaniana, Italy kwa Shahada ya Kwanza ya Falsafa (Bachelor Degree in Philosophy) na kuhitimu 1996. Aliendelea na masomo chuoni hapo na kuhitimu Shahada ya Theolojia (Bachelor Degree in Theology) mwaka 2000. Mwaka 2001 alipata daraja takatifu la Upadre na akahudumu katika Jimbo Katoliki Moshi na Jimbo Kuu DSM kabla ya kutumwa Darfur, Sudan kutoa huduma za kiroho katikati ya vita. Kutokana na unyeti wa huduma hiyo alilazimika kupata mafunzo ya kijeshi ili kujilinda akiwa vitani. Katika mahojiano na gazeti la Mwananchi la Desemba 07, 2021 alisema alipata mafunzo kupitia Jeshi la Sudan. Baadaye aliendelea na mafunzo zaidi ya kijeshi nchini Kenya na Cuba hadi kufikia cheo cha Kapteni. Baada ya miaka mingi nchini Sudan, hatimaye mwaka 2007 alitumwa Chuo Kikuu Ardhi kwa Shahada ya kwanza ya Usanifu Majengo (Bachelor Degree in Architecture) na kuhitimu 2011. Kutokana na ufaulu mzuri alibakizwa chuoni hapo kama Msaidizi wa Mihadhara (Tutorial Assistant). Mwaka 2012 alitumwa tena kwa Shahada ya Umahiri ya Usanifu Majengo (Master’s Degree in Architecture) na kuhitimu mwaka 2014. Aliajiriwa chuoni hapo kama Mhadhiri Msaidizi (Assistant Lecturer) katika Idara ya Usanifu Majengo, Uchumi na Ujenzi. Mwaka 2016 alitumwa tena masomoni kwa Shahada ya Uzamivu ya Usanifu Majengo (PhD in Architecture) na kuhitimu mwaka 2021. Kwa sasa ni Mhadhiri Mwandamizi (Senior Lecturer) wa Chuo Kikuu Ardhi. Amesajiliwa na Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) na amesanifu majengo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo majengo ya Kanisa. Pia ni mchezaji mashuhuri wa Karate na Judo anayeshikilia mkanda mweusi (Black Belt) katika mchezo huo. Tumtakie heri ya miaka 25 ya Upadre, Rev. Fr. Dr. Captain Henry Rimisho, AJ. Roma locuta, causa finita est 🙏🏽 #salayaleo #kwayakatoliki #catholicsongs #catholic #kanisakatoliki

About