Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@havannawinter:
Havanna Winter
Open In TikTok:
Region: US
Friday 10 July 2026 18:29:26 GMT
128
14
0
4
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.1MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.1MB
)
Watermark .mp4 (
1.96MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @havannawinter, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Mamlaka husika zimeanza uchunguzi kubaini chanzo cha moto ulioharibu sehemu ya Kituo cha Mafuta cha Lake Energies kilichopo Kata ya Bombambili, Manispaa ya Geita, huku ikithibitishwa kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo. Moto huo ulizuka wakati gari aina ya Kenta lenye namba za usajili T 799 BEB, mali ya Abdul Rajabu, likiwa linajaza mafuta katika kituo hicho. Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto ulianzia kwenye gari hilo kabla ya kusambaa na kuharibu sehemu ya miundombinu ya kituo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Keneth Mwakasitu, amesema kikosi cha zimamoto kimefanikiwa kuudhibiti moto huo kabla haujasambaa kwenye maeneo mengine. Uchunguzi unaendelea kubaini chanzo halisi cha moto huo. Kwa upande wake, mmiliki wa gari hilo, Abdul Rajabu, amesema alishuhudia moshi ukitoka kwenye sehemu ya bodi ya gari wakati likiwa linaendelea kujaza mafuta, kabla ya moto kuzuka, akieleza kuwa hafahamu chanzo cha tukio hilo.
🕺🏽#fypシ
#🇺🇸
Da or ralagawe Za ye karma dewana 😇#foryou #viral #viralvideo #foryoupage❤️❤️
@thiagobrava #thiagobrava #thiagobravaclipfy #clipfyleague #romario
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy