@chutairs150: Côp yên cho Winner V1,2,3,4,5 Sonic ( gắn như zin, tiện lợi ) 🤤🔥 #winnerv1 #copyenwinner #copyentpr #chutai_rs150 #xuhuong2026

Chú Tài 📸
Chú Tài 📸
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 11 July 2026 04:00:00 GMT
64
4
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @chutairs150, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Madogo na ya Kati Tanzania (TAMSTOA), Chuki Shabani, amesema chama hicho hakitanyamaza kufuatia tukio la mmiliki wa lori ambaye pia ni dereva, Khalfan Ndamo, kudai kushambuliwa na kuporwa akiwa ndani ya ICD ya Farion, Sabasaba, wilayani Temeke. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Shabani alisema taarifa za awali alizipata kupitia kundi la Usalama Kwanza la sekta ya usafirishaji, ambapo ilielezwa kuwa Ndamo alikuwa amepelekwa kushusha kontena lakini akaambiwa makontena hayo hayangepokelewa kutokana na wenye mizigo kuchelewa kuyachukua. Alisema dereva huyo alijaribu kuomba maelekezo ya mahali pengine pa kushusha kontena kwa kuwa hakuwa na sehemu nyingine ya kuegesha lori, lakini badala yake alidai kushambuliwa na watu walioitwa kwenye eneo hilo. Mwenyekiti huyo alisema mara baada ya kuona video ya tukio hilo aliwasiliana na viongozi mbalimbali wa serikali na taasisi zinazohusika ili hatua zichukuliwe haraka. Alisema tayari ametuma taarifa pamoja na vielelezo kwa Mkurugenzi wa TASAC, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), pamoja na Kamati ya Tanzania Ports Improvement Committee ili mamlaka hizo zipate kufahamu kinachoendelea katika baadhi ya ICD binafsi. Kwa mujibu wa Shabani, Mkurugenzi wa TASAC tayari amemjibu kuwa suala hilo linafanyiwa kazi kwa haraka, huku akisema anatarajia kuanza kukutana ana kwa ana na viongozi wa taasisi mbalimbali kuanzia Jumatatu ili kufuatilia hatua zinazochukuliwa. Shabani alisisitiza kuwa TAMSTOA itatoa msaada wa kisheria kwa mwanachama wake na kuhakikisha suala hilo linafikishwa mahakamani endapo uchunguzi utabaini kuwepo kwa makosa ya jinai. Aidha, ametoa wito kwa mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu mazingira ya usalama katika vituo vya kuhifadhi makontena (ICD) ili kuzuia matukio ya aina hiyo kujirudia na kuhakikisha madereva na wamiliki wa malori wanatekeleza shughuli zao katika mazingira salama. FULL VIDEO IPO YOUTUBE YA CHAWAMATA TV. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz

About